Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

Nchi za Africa zinahitaji watawala. Viongozi achia wazungu wenye demokrasia yao.
 
Uhuru ni mtoto wa Mjini, ametokea kabila kubwa na tajiri Kenya.
Akiamia kumhujuma Ruto atajuta kuwa rais
Ruto alisaidiwa na venezuela(wajamaa) sasa anapambana na mzee wa msoga ya kenya/uhuru kumnyang'anya biashara kama alivyofanya mwendazake kuihujumu miradi ya mzee wa msoga sasa yalotokea tz march 17 yatatokea kenya pia Kenya lisu wao ni raila
 
Atakuwa dictator zaidi ya Magufuli. Nimesikiliza hotuba zake, naona viashiria vyote vya tabia za Magufuli. Wakenya watajuta kutomchagua Raila kwani ndio hasa baba wa demokrasia ya Kenya.
Kipindi kile si walikuwa wanaomba tubadilishane na Magufuli? Wameshapewa wakutoka huko huko.
 
Ruto alisaidiwa na venezuela(wajamaa) sasa anapambana na mzee wa msoga ya kenya/uhuru kumnyang'anya biashara kama alivyofanya mwendazake kuihujumu miradi ya mzee wa msoga sasa yalotokea tz march 17 yatatokea kenya pia Kenya lisu wao ni raila
Yaah ni ngumu mno kwa Ruto kutoboa kwa aina ya utawala wake ulivyo.
Wakenya huwezi kuwapeleka kama Mang'ombe watamtoa jasho.

Raila akirudi tena mtaani kitanuka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…