Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

Ndio, 2003 kura ya Urais walimpigia Kibaki ilihali Mjaluo James Orengo aligombea ila alizidiwa kura na kibaki hapo hapo ujaluoni kitu ambacho mkikuyu hawezi fanya miaka 1000!!
Sasa huyo kibaki si alikuwa na Odinga na Odinga ndio alimpigia kampeni huko kwao,
kulikuwa na wagombea 4 wa Urais Kenya mwaka huu na mmoja wao ni Kikuyu mvona hawakumpa kura wakampa Ruto?
 
Waihiga alipiga wapi kampeni?
My point is licha ya kwamba Wakikuyu hawakuwa na strong candidate ila waliona mara 10 Ruto kuliko Odinga.

Na ndio ukabila huo naoongelea, unlike wajaluo 2002 hawakumpigia Orengo ila wakampigia Kibaki kiroho safi but Wakikuyu hiko hawawezi mfanyia Mjaluo hata iweje.

Anyway Ruto akitoka 2032 Rais atakua Mkikuyu mpaka 2042.... Ndio imetoka hiyo kwa makabila mengine.
 
We naona unaji contradict mwenyewe, unasema wajaluo sio wakabila sababu hawakumchagua Orengo ila wakamchagua mgombea wa Odinga, ila Wakikuyu ni wakabila kwa kumchagua Ruto ambaye sio mkikuyu na kumuacha mgombea Mkikuyu Mwaure na pia kumuacha chaguo la Uhuru?
 
Mkuu hoja ni Kikuyu kumpigia Mjaluo na Mjaluo kumpigia Mkikuyu, ndio nikasema wajaluo waliweza 2002 ila Wakikuyu walishindwa 2022 licha ya Kenyatta kuwashawishi kwa njia zote.
 
Nimemsikia akiapa kamwe hataweka mpinzani ktk nafasi yoyote!
Naona Kenya ikienda kumshinda mapema kabisa huyu mtu!
 
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.

Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.

1 Updates. Rais Ruto amesema ataagiza mafuta urusi ambayo imewekewa vikwazo na Mataifa ya Magharibi kwa sababu ya Putin kuua watu wasio na hatia nchini Ukraine.

2 Update. Wakili aliyewahonga mashahidi waliotaka tudhibitisha kwenye mahakama ya ICC kuwa Ruto aliusika na mauaji ya watu wasio na hatia mwaka 2007 baada ya uchaguzi ameuwawa kwa sumu.
Na wasiwasi ndiye anayezuia bomba la mafuta
 
Kuna wakili huko Kenya amekutwa amekufa kwake je, sarakasi zimeanza?
 
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.

Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.

1 Updates. Rais Ruto amesema ataagiza mafuta urusi ambayo imewekewa vikwazo na Mataifa ya Magharibi kwa sababu ya Putin kuua watu wasio na hatia nchini Ukraine.

2 Update. Wakili aliyewahonga mashahidi waliotaka kutoa ushaidi kwenye mahakama ya ICC kuwa Ruto aliusika na mauaji ya watu wasio na hatia mwaka 2007 baada ya uchaguzi ameuwawa kwa sumu.
Anaineemesha Kenya halafu wewe unaleta tabia za kutoguswa?
 
Kosa kununua mafuta Urusi.? Ujinga huo. India ananunua, China ananunia, hata ulaya yenyewe. Acheni maisha ya ujinga hayo. Basi Afrika tuolewe na USA na EU. Pumbavu sana. Nimekasirika bro usinishike niache
 
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania

Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.

Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.

Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.

1 Updates. Rais Ruto amesema ataagiza mafuta urusi ambayo imewekewa vikwazo na Mataifa ya Magharibi kwa sababu ya Putin kuua watu wasio na hatia nchini Ukraine.

2 Update. Wakili aliyewahonga mashahidi waliotaka kutoa ushaidi kwenye mahakama ya ICC kuwa Ruto aliusika na mauaji ya watu wasio na hatia mwaka 2007 baada ya uchaguzi ameuwawa kwa sumu.
Yanaanza yale yale ya Magufuli na Kikwete Sasa ni Uhuru na Ruto
 
Huyu Raisi wa Venezuela ni product ya Moi, atakuwa kama Moi ..
 
Back
Top Bottom