Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru


Hivi unemployment ni kweli 1.9% kwetu? Hata Marekani tumewazidi.
 
Tatizo la nchi yetu ni uchawa. kila anaesimama ni kusifia uchumi unakuwa kwa kasi kubwa sana duniani lakini ukweli hutuambiwi ili tujue namna ya kwenda nao! Na cha ajabu hadi watu kama mwijaku ndio wasemaji wa uchumi siku hizi!
Uchumi wa Tanzania ni wa mdomoni tu.......uongo mwingi na kusifia sifia kipumbavu
 
Nilijua unalinganisha line to line! Tupate tofauti, kwani wakija wanafika Vingunguti pia au wanashangaa posta tu na wanapimaje hadi washangae?
Line kwa line unamaanisha nini?
Kwamba 500 na 2000 zote ni chini ya dolar moja, Sasa hiyo tofauti yao Haina thamani kivile.

Pili GDP haireflect uhalisia hasa wa kiuchumi na inaathiriwa na thamani ya shilingi.

Sometimes mnaweza mkawa na Uchumi mkubwa ila kushtuka kwa thamani ya pesa dhidi ya dola ya Marekani ikaonekana mna thamani ndogo.

Kumbuka Uchumi wa kweli ni GDP by PPP tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…