Tupe takwimu mkuu
Sawa Nitakupa!Tupe takwimu mkuu
Gap kubwa sana, elfu kumi ya Kenya sasa hivi ni laki 2 na ushee wa shilingi yetu.Ndio ukweli wenyewe, Kenya wametupiga gape kubwa sana
Umejuaje wakenya hawamtaki? Ujue tume huru ya uchaguzi Kenya ni huru kweli sio kama hii iliyobatizwa jina tume huru.Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
Kaa kwa passwordPunguza Kamdomo
Walirebase GDP Yao mwaka Jana, ila ya kwetu tumeishusha.Sawa Nitakupa!
Sasa Nakupa Takwimu za 5 Years Economic Comparison na Nitakupa Mchanganuo wake na How Tafsiri yake inavyokuwa.. Kutoka mwaka 2020 mpaka sasa..
Nikikosea Nadhani ChoiceVariable yupo Mchumi Huyu atanisaidia..
TAfsiri Ya Kiuchumi kwa mwaka 2020 kwako Mwanaharamu
- GDP (Nominal) and Growth Rates
- Mwaka 2020 Tanzania GDP ilikuwa bilion $64.4 wakati kenya Ilikuwa bilion $95.5 (Kwa Tanzania wakiwa na Growth rate ya 2.5% While kenya wakiwa na -0.3%)
Mwaka 2020 kulikuwa na changamoto za janga la COVID-19, Tanzania ilionyesha uimara wa kiuchumi kwa kuwa na ukuaji wa GDP wa asilimia 2.5, kwa sababu iligoma Kuweka wati Karantini na Wala hawakuzia Watu kwenda makazini wala kufanya Mambo ya Kiuchumi watu walipiga kazi kama kawa ila huko Kenya ikapata mdororo wa asilimia -0.3.
kutokana na wao kudeal na athari za Kujikinga na Korona na Wakashindwa Kumaintain Uchumi na Kupata Athara kubwa sana kwa hiyo uchumi wa Tanzania ulikuwa na uwezo wa kustahimili misukosuko ya nje kwa kiwango kikubwa, ukilinganishwa na Kenya ambaye ingawa alikuwa na uchumi mkubwa zaidi (GDP ya $95.5 bilioni dhidi ya $64.4 bilioni ya Tanzania), lilikuwa Ni pigo kwa Kenya hasa katika sekta za kilimo na uzalishaji wa ndani, sasa Unategemea Kenya huyu anayetegemea zaidi sekta zilizoathirika kama utalii na biashara ya kimataifa, Kufanikiwa mwaka 2020?
Lakini Cha Ajabu ni kwamba Hata kama Alipata Hasara kama Taifa ila Bado uchumi ulikuwa 94.5 Mkubw Kuliko Tanzania kwa Zaidi ya $ bilion 30
Niendelee Kukuletea Takwimu Boss...
Maana Kwa Mwaka huu uliopita mwaka 2024 Kenya Ana GDP ya bilion $131.7 , Wakati Tanzania Ana GDP ya Bilion $83.3 ..
Sawa na Pungufu ya 48.4 BILION $
Maana yake Uchumi wetu Sisi Kenya ametuzidi Sana yaani Gape la Uchumi Wake na Wetu ni sawa na Uchumi wa Taifa la Uganda 😀😀 dollar Bilion 48.4 Ndo Uchumi aliotuzidi..
Ukiataka Niendeleee Nipo
Thamani ya pesa havionyeshi ukubwa wa Uchumi.Gap kubwa sana, elfu kumi ya Kenya sasa hivi ni laki 2 na ushee wa shilingi yetu.
Hapana Ilikuwa Ni mwaka 2021 Ambapo Uchumi wao Ulikuwa kwa 7.6 %Walirebase GDP Yao mwaka Jana, ila ya kwetu tumeishusha.
Vipi Kuhudu GDP per capital..Thamani ya pesa havionyeshi ukubwa wa Uchumi.
Kumbuka Nigeria ni giant economy in Africa lakini Naira ni second worst performing currency in the world
Mzee nimekubaliVipi Kuhudu GDP per capital..
Ambapo Kwa Mwaka Huu Tanzania Tuna USD 1420 Wakati Kenya wana USD 2600..
Means Raia w kenya wana Uchumi Poa Sana Kutuzidi
Wewe mpuuzi huwa huoni wala kusikia maandamano ya Kenya dhidi ya serikali yao?Umejuaje wakenya hawamtaki? Ujue tume huru ya uchaguzi Kenya ni huru kweli sio kama hii iliyobatizwa jina tume huru.
Kabisa kamanda wanaharibia vijana future wakiona kusoma sio issue tena, yani tunazidi ku-lag behind kwenye almost kila kitu. Project kama BRT, SGR, Bandari, madini zingekuwa na usimamizi mzuri zingeleta mabadiliko chanya sana kwenye uchumi wa nchiTuko nyuma, Angalieni tunazidi kuporomoka, mimi hushangaa kila siku ccm kulilia Diplomacy Diplomacy , mara utasikia amani amani amani, lakini sioni faida ya hayo under ccm.
Ccm wanacho weza the best ni kupiga wapinzani, kuimba nyimbo, kuvaa nguo za ccm na kuiba, hata wizi wenyewe wa kishamba usiokuwa na tija.
Suala la maendeleo ni kupoteza muda kwa ccm, kila wanachofanya wana fail , tazameni report za CAG, kila institutions zimekula loss, bure kabisa, yamejazana ofsini bila tija.
Huwezi ukasukuma gari ndani ya gari, wataishia kubadili Rais na viongozi kila siku lakini matokeo ni yale yale, hawataki kujua ukweli wako kwenye elastic limit ..
Hapo Ndo nahisi Tumewazidi Maana Hata Unemployment rate ys Tanzania Na Kenya zinatifautiana kwa Ukubwa sana..Mzee nimekubali
Ila huu Uchumi umeshikwa na watu weupe tu.
Wakenya wa kawaida wana maisha mgumu kuliko Tanzania.
Vipi na zile data za Inclusive Economy kati Yao na sisi?
Potential ya Tanzania ni kubwa sana hilo halina ubishi ila kinachokosekana ni uongozi bora na siasa safi.Wakenya wanakitu gani cha kuuza nje in the first place?
Biggest export ya Kenya ni tea yenye thamani $1.37 billion.
Tanzania biggest export gold $5.05 billion.
Export zingine kubwa za Kenya ni maua (mashamba ya wa Dutch) na Tea (mashamba ya wazungu).
Exports zao na zetu hazifanani, bidhaa kubwa Tanzania inazo export Kenya hawana. If anything some of their export ni kutoka Tanzania.
Wakati wao mashamba ya kahawa na chai makubwa wanao export ni ya wachache.
Tanzania uniliver huko Mufindi chai inanunua kwa wakulima wadogo na kuwapa utajiri, Kenya ni seasonal pickers tu. Same kwa wakulima wa kahama.
Sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya 55% ni service funded with (FDI) capital, kuna capital outflow kubwa kushinda Tanzania after taxes have been paid.
Uchumi wa Tanzania ni decentralised unawafikia wengi na hali ya wananchi ingekuwa nzuri zaidi serikali kungekuwa na usimamiaji mzuri wa sector ya kilimo na uzalishaji. Uchumi wa Kenya ni centralised upo kwa watu wachache na life chances za wakenya ni ndogo kushinda kwa watanzania.
Tanzania ina potential ya kukuwa kiuchumi kushinda Kenya under the right government au serious civil services.
GDP ya Kenya ni on paper, tukizuia tu watalii kupitia Kenya tunaaribu biashara ya Kenya airways, mapato ya visa wanayopata watu kuingilia Kenya na kila indirect benefit ya kutumia mbuga zetu.
Tanzania ni more stable economically, sisi tuna maamuzi ya kuathiri uchumi wao kiasi kikubwa kushinda wao. Ni sawa na US na Canada kwenye tariff war, tofauti yetu na Kenya wao wana paper GDP kubwa.
Porojo, umeandika kishabiki kabisaaa.,Wakenya wanakitu gani cha kuuza nje in the first place?

Wewe unaamini hizo data za WB kuhusu unemployment rate ya Africa.Hapo Ndo nahisi Tumewazidi Maana Hata Unemployment rate ys Tanzania Na Kenya zinatifautiana kwa Ukubwa sana..
Mpaka mwaka 2024 Tanzania Ilikuwa na Unemployment Rate ya 2.5% Huku kenya Wakiwa na 3.3% Means Raia Wengi wa Kenya Hawana Ajira Maalumu!
Ila Ukija kwenye Inflation Rate Tanzania Ina 4.8% na Kenya Ina 7.9% Maana Yake ni kwamba Kenya wana Purchasing Power Kubwa Kuliko Kwetu..Yaani Ni bora Kuishi Tanzania Kwakuwa Vitu ni bei Rahisi Kuliko Kenya Ambapo Wanaiflation ya 7.9..
Ukija Kuzungumzia Inclusive Economy Hapo Tanzania Is the Top Kwa Kenya
Ndio tatizo kubwa la TanzaniaPotential ya Tanzania ni kubwa sana hilo halina ubishi ila kinachokosekana ni uongozi bora na siasa safi.