Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

Tatizo ni kwamba Wao pia Wanatumiwa Data..
So inawezekana Nchi mahalia Imewapa Data Zisizo za Kweli ili ziwe published.

So kama Unaweza Unaweza kwenda Kwenye Ofisi za Takwimu za Tanzania Watakupa Hizo hizo ambazo wamezituma Huko WB..Tatizo la Kuchezea Data Nalijua Sana..sana sana kwa Nchi zetu kama Tanzania Nimewahi kufanya Research nyingi sana zingine zilizuiwa Kuwa Published kwa sababu zilipingana na Data Zilizopo Serkalini..
So Naelewa Unachokisema
 
Facts Facts 1 Kshs=20Tzshs
200Kshs= 4000Tshs Approximate
Hakika Hivi wangepata Mt.Kilimanjaro kenyaπŸ˜•
 
Kiongozi hizo data unazotaka ukienda kwenye website ya national statics za Kenya na Tanzania utapata if you want to compare.

Mimi sipo huko nimeandika general na kuangalia largest exports, Tanzania ina export more kushinda Kenya.

Isitoshe sehemu kubwa ya information unazotaka zinafall under services sector na nimesema Kenya inatuzidi almost 55% ya GDP yao ni services.
 
Hii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.

Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
Kenya hawana rasilimali tulizonazo sisi, ficha ujinga!
 
Hii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.

Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
Mkuu tupo nyuma Sio uongo KwanziΓ  kisiasa na kiuchumi usipinge ukweli kwani imekuwaje Wao Ela yao inadhamani kulikl yetu??
 
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola $113.34b
9. Cote d'Ivoire $94.48b
10. Ghana $88.33b
11. Tanzania $85.98b
 
Huo ndio utaratibu wao wanapewa data na ofisi za takwimu za nchi.

Kilichoniboa surely wachumi huko WB na statistician shouldn’t believe that. WB is supposed to be a reputable or credible source of reference kwenye maandishi ya uchumi.

Sasa kuchapisha takwimu ambazo ni wazi nchi kama Tanzania nafasi mia zikitangazwa unaweza jaza uwanja wa mpira kwa candidates halafu useme unemployment ni below 3% that’s just an insult to people’s intelligence bora wasiweke.
 
Mkuu tupo nyuma Sio uongo KwanziΓ  kisiasa na kiuchumi usipinge ukweli kwani imekuwaje Wao Ela yao inadhamani kulikl yetu??
Ni ukweli ambao wengi hawataki kuusikia, licha ya potential tulionayo kama nchi ndio hivyo tena viongozi wanatuangusha sana
 
Hawana rasiliamali tulizonazo kweli ila mbona ela yetu haina kiwango chao 1kshs = 20Tshs..Shilling moja ya Tanzania itakuwa shingapi kenya?
Ndio maana nikamjibu huyo zoba atambue kuwa uchumi wetu ulipaswa kuwa juu zaidi ya Kenya Kwa rasilimali tulizonazo!
 
Ni ukweli ambao wengi hawataki kuusikia, licha ya potential tulionayo kama nchi ndio hivyo tena viongozi wanatuangusha sana
Facts Facts Mkuu Viongozi wakiamua mbona na sisi tutaeleweka... Mfano Mt.Kilimanjaro ipo Moshi Ila soko la Maimoria Ukiingia kipindi cha mvua ni aibu hata stand ya kilimanjaro haiendani na kusema tunamlima Kilimanjaro Highest FREE STANDING IN THE WORLD ni Aibu kwa hao viongozi
 
Largest not total? coz ikija total exports, iwe kubwa ama ndogo tukijumuisha, Kenya imeizidi Tanzania..., data zipo.., total exports za Kenya in East Africa pekee ni zaidi ya Tanzania, ikija Kenyan companies investments in East African countries, za Kenya ni mingi by far, kutokea banks to manufacuring.., Kenya imewekeza East Africa zaidi ya nchi yoyote ukanda huu..., ina maana uchumi wenu ukipanda na wa nchi zingine East Africa, Kenya inapanda zaidi, due to investments in those countries. Kwa mfano umeona revenue ya Equity Bank DRC branch kweli? ama total? hakuna biashara yoyote Tanzania iko na pato kama ya Equity.., na bado sijataja Safaricom, ambao waliingia Ethiopia kwa kishindo..., kaka elewa uchumi
 
Sure kiongozi, tunakosa Uongozi bora na siasa safi ila ujinga huu ukikoma TZ ni nchi nzuri na tajiri sana
 
Ndio maana nikamjibu huyo zoba atambue kuwa uchumi wetu ulipaswa kuwa juu zaidi ya Kenya Kwa rasilimali tulizonazo!
ukweli ndio unachukiwa hapa Kwetu Mkuu.. Ila Mtanzania Hawezi kudhubutu kusimama hadharani kusema mbona Hatuelewi mali ni nyingi kuliko majirani alfu majirani wanaelewa kuliko sisi watupe Jibu Ni Ujinga wao wa akili ama wanaeka mali Bondi
 
Sana, Kenya wapo very aggressive sana kwenye uchumi na wametutangulia sana hilo halipingiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…