njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ruto kacheza hii game smart sana, leo ushahidi wa huyo njoroge uliotumiwa na ma lawayers wa Raila umegeuka kichekeshoMambo sio marahisi kama unavyofikiria.
Ni wa kumuonea huruma yule mzee watu wamemtumia kupate ubunge na useneta na ugavana jumatatu wanamkimbia rasmiHuko Mahakamani huyo Raila ana watu wake anaowaamini au? Maana inaonekana system nzima ni same ol', same ol' and rotten to the core.
Hustler anaapishwa tarehe 13....huyo Mganga hana watu wa mikakati na washauri wazuri linapokuja suala la kushinda uchaguzi...
Raila hajui kushinda uchaguzi ni mikakati...alidhani deep state itaagiza atangazwe hata asiposhinda...imekula kwake...aende Bondo apumzike sasa
Hahaha....... labda Rais wa VenezuelaRuto kacheza hii game smart sana, leo ushahidi wa huyo njoroge uliotumiwa na ma lawayers wa Raila umegeuka kichekesho
Raila kaangushwa na vingi, hakuwa hata na ma agents karibu asilimia 50 ya pllling stations, kina Joho, Junet Mohamed walikula hel ya agents wakaweka nguvu mombasa tu na kuna mazungumzo ya simu walirekodiwa wakimkebehi Raila
Subiri jumatatu baada ya hukumu timbwili litakalozuka huko azimio
kwa conclusion ya leo ya jaji mkuu Koome naona kama jumatatu atakataa madai ya servers kudukuliwa sababu forms physically zilihesabiwa ila atashauri tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho
umengalia kwenye tv kweli leo? hiyo issue ya mvenezuela imewaaibisha kina raila vibaya na ndiyo chanzo ch uzi huu unless hukuelewa kwamba njoroge kawapa fake evidence wakaingia nayo frontHahaha....... labda Rais wa Venezuela
Hawawezi upeo wao kwa sasa ni mkubwa mnoo, ila lazima Raila atalazimisha machafuko sababu hata hii kesi inayoendelea alitaka wafuasi wake wafanye sit down nje ya mahakama baadaaye akaghairi, maskini wa kibera walimuambia wamechoka kutumika na mtu anayedai kuibiwa kila uchaguzi tena safari hii akisaidiwa na incumbentTuwaombee Mungu ndugu zetu Wakenya wasiingie kwenye machafuko tu.
Naona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.Hawawezi upeo wao kwa sasa ni mkubwa mnoo, ila lazima Raila atalazimisha machafuko sababu hata hii kesi inayoendelea alitaka wafuasi wake wafanye sit down nje ya mahakama baadaaye akaghairi, maskini wa kibera walimuambia wamechoka kutumika na mtu anayedai kuibiwa kila uchaguzi tena safari hii akisaidiwa na incumbent
Amos wako mwnasheria mkuu wa zamani wa kenya, afisa mkubwa jeshi mwenye nyota tatu jenerali, mkuu wa jeshi la polisi na wengine wa baraza la usalama la kenya pamoja na katibu mkuu wa chama cha raila, Raphael Tuju walimtembelea chebukati saa tisa usiku siku anatangaza matokeo kufosi ayabadili akakataaKwa Kenya ni vigumu deep state kuingilia sio Kama Tanzania.
hahahahaha kwa taarifa yako wakikuyu weeeengi wamempa ruto hawataki mjaluo labda watu wa kisumu ndiyo watakunja, cha kwanza Ruto kaahidi kufanyia kazi ni kushusha bei ya unga, in few days akifanikisha hakuna atakumbuka ujinga wa RailaNaona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.
Nimeamini ule msemo wa "Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu"hahahahaha kwa taarifa yako wakikuyu weeeengi wamempa ruto hawataki mjaluo labda watu wa kisumu ndiyo watakunja, cha kwanza Ruto kaahidi kufanyia kazi ni kushusha bei ya unga, in few days akifanikisha hakuna atakumbuka ujinga wa Raila
mahakama iko nairobi au kinondoni? majaji wapi sasa we mzeeee? embu tumia akili bana tunazungumzia majaji wa kenya, kuna jaji hapa atapingana na kauli ya mwigulu kwamba wananchi wanaifurahia tozo na waliipendekeza?Mmeshindwa kwenda mahakamani kupinga tozo. Ila ni Wajuaji wa Mambo ya Kenya! Wabongo bhanaa.