MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Raila the Cash Cow wa
Bahati mbaya pia CJ kakataa report yao ya baada ya zoezi la kupekua server na baadhi ya ma box ya kura amesema report inayotambulika ni ile ya registrar wa mahakama na kwenye report ya registrar wa mahakama upande wa Odinga ulisema mambo yako sawa. Mzee watu wanakula pesa zake tu na kujipatia manufaa kisiasaumengalia kwenye tv kweli leo? hiyo issue ya mvenezuela imewaaibisha kina raila vibaya na ndiyo chanzo ch uzi huu unless hukuelewa kwamba njoroge kawapa fake evidence wakaingia nayo front
View attachment 2343466