Kenya 2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Raila the Cash Cow wa
umengalia kwenye tv kweli leo? hiyo issue ya mvenezuela imewaaibisha kina raila vibaya na ndiyo chanzo ch uzi huu unless hukuelewa kwamba njoroge kawapa fake evidence wakaingia nayo front
View attachment 2343466
Bahati mbaya pia CJ kakataa report yao ya baada ya zoezi la kupekua server na baadhi ya ma box ya kura amesema report inayotambulika ni ile ya registrar wa mahakama na kwenye report ya registrar wa mahakama upande wa Odinga ulisema mambo yako sawa. Mzee watu wanakula pesa zake tu na kujipatia manufaa kisiasa
 
Amos wako mwnasheria mkuu wa zamani wa kenya, afisa mkubwa jeshi mwenye nyota tatu jenerali, mkuu wa jeshi la polisi na wengine wa baraza la usalama la kenya pamoja na katibu mkuu wa chama cha raila, Raphael Tuju walimtembelea chebukati saa tisa usiku siku anatangaza matokeo kufosi ayabadili akakataa

alipewa na ahadi ya 500 millions ya kenya akakataa, hapo chebukati na wenzake wawili walisimamia kucha tu ila jamaa kama nchi wamepiga hatua sana hapa miaka 2 imepita kuna forms mahera hataki kuziweka mtandaoni kama sheria inavyosema watu walinganishe mahesabu
kenya forms 46,000 zilipanda in 2 days

IGP wa kenya kabla ya hii kesi kuanza alishanusa aibu akaomba likizo ya kimatibabu nafasi yake inakaimiwa na msaidizi wake aliyetuliza fujo za wafuasi wa Raila pale boma na matokeo yakatangazwa

Unaleta hearsay unataka iwe kweli. Amos Wako ni seneta mstaafu huko busia, ana mamlaka gani ya kuingilia uchaguzi?. Halafu watabadilisha Nini wakati kila kitu kipo wazi.

Kenya sio Tanzania am ambapo akishinda upinzani Tume inafuta uchaguzi kwa msaada wa jeshi.
 
Jamaa mbona unaandika utadhani watu wengine hatufatilii uchaguzi wa Kenya.Ruto ana nafasi ndogo sana ya kupenyeza-95 % inaonesha uchaguzi huu utarudiwa.

Kasoro zilizobainishwa ni nyingi na ambayo majibu yake yamejibiwa kisiasa sana na Mawakili wa Ruto.issue kubwa zinazofanya uchaguzi huu kuwa batili kwa 99% ni 3.

1.Dosari katika masanduku yaliyorudiwa kura-ambapo dosari hizo zimeibuka katika vituo 6 kati ya vituo 15 vilivyokiwa vimechaguliwa.

2.Bwana Chibukati kutoshirikisha Makimishina 4 katika maamuzi yote ya uchaguzi-hadi Jaji akatolea mfano vipi ingetokea kwa bahati mbaya Chibukati amefariki ni nani angeweza kuongoza Tume.Kwa mujibu wa Katiba yao Jaji Mkuu alifafanua hao Ma Kamishina 6 wana majukumu katika maamuzi,sasa aliwezaje kufanya maamuzi huku Pasipo Makamishina 4 kati ya 6.

3.Kete ya mwisho inayofanya uchaguzi kuwa batili ni swala la bwana Chibukati kuharakisha kutangaza matokeo huku akijua fika walikuwa bado wana siku 1 ili kusolve hizo irregularities.
Jumatatu sio mbali mkuu, nitarudi kwenye huu uzi
 
Mkuu kusoma haujui hata picha uoni.
 
Attachments

  • Screenshot_20220902-214644_1.jpg
    Screenshot_20220902-214644_1.jpg
    54.5 KB · Views: 3
Jamaa mbona unaandika utadhani watu wengine hatufatilii uchaguzi wa Kenya.Ruto ana nafasi ndogo sana ya kupenyeza-95 % inaonesha uchaguzi huu utarudiwa.

Kasoro zilizobainishwa ni nyingi na ambayo majibu yake yamejibiwa kisiasa sana na Mawakili wa Ruto.issue kubwa zinazofanya uchaguzi huu kuwa batili kwa 99% ni 3.

1.Dosari katika masanduku yaliyorudiwa kura-ambapo dosari hizo zimeibuka katika vituo 6 kati ya vituo 15 vilivyokiwa vimechaguliwa.

2.Bwana Chibukati kutoshirikisha Makimishina 4 katika maamuzi yote ya uchaguzi-hadi Jaji akatolea mfano vipi ingetokea kwa bahati mbaya Chibukati amefariki ni nani angeweza kuongoza Tume.Kwa mujibu wa Katiba yao Jaji Mkuu alifafanua hao Ma Kamishina 6 wana majukumu katika maamuzi,sasa aliwezaje kufanya maamuzi huku Pasipo Makamishina 4 kati ya 6.

3.Kete ya mwisho inayofanya uchaguzi kuwa batili ni swala la bwana Chibukati kuharakisha kutangaza matokeo huku akijua fika walikuwa bado wana siku 1 ili kusolve hizo irregularities.
angewasubiri watu ambao walikuwa washakimbilia serena hotel walipowekwa siku kadhaa bila hata nguo za kubadilisha,unajua walikuwa wamepanga kumteka chebukati? katangaza muda sahihi kabisa ,kitakachotokea ni mkahakama kuu kutoa mapendekezo ya kuboresha system ya uchaguzi na tume ya uchaguzi
itumbi.JPG
 
hahahahaha kwa taarifa yako wakikuyu weeeengi wamempa ruto hawataki mjaluo labda watu wa kisumu ndiyo watakunja, cha kwanza Ruto kaahidi kufanyia kazi ni kushusha bei ya unga, in few days akifanikisha hakuna atakumbuka ujinga wa Raila

Wakikuyu wamempa kura Ruto halafu amepata 50.5. basi mwaka huu mambo yalikuwa magumu. Uchaguzi uliopita Kenyatta alimzidi Odinga kwa kura milioni moja na wakikuyu walipiga kura hasa Hadi wagonjwa walibebwa kutoka mahospitalini.
 
Unaleta hearsay unataka iwe kweli. Amos Wako ni seneta mstaafu huko busia, ana mamlaka gani ya kuingilia uchaguzi?. Halafu watabadilisha Nini wakati kila kitu kipo wazi.

Kenya sio Tanzania am ambapo akishinda upinzani Tume inafuta uchaguzi kwa msaada wa jeshi.
kwani members wote wa baraza la usalama la kenya unawajua? chebukati kawataja kwamba walimtembelea saa 9 usiku kufosi kubadili matokeo na Tuju kakubali, hadi IGP kajipa likizo ya matibabu, wako hajakanusha madai mazito kama hayo sema wewe ndiye unakanusha kwa niaba yake
members kadhaa wa national security council walikuwepo akiwepo huyo state attorney wa zamani, amos wako
 
Wakikuyu wamempa kura Ruto halafu amepata 50.5. basi mwaka huu mambo yalikuwa magumu. Uchaguzi uliopita Kenyatta alimzidi Odinga kwa kura milioni moja na wakikuyu walipiga kura hasa Hadi wagonjwa walibebwa kutoka mahospitalini.
sasa ndo hivyo basi kambeba Raila mgongoni lakini wale wazee wa zamani wanakumbuka kiapo walichoapa mbele ya baba yake uhurumzeekenyata KWAMBA HAKUNA KUWAPA NCHI MAGOVI YASIYOTAHIRIWA YA KIJALUO
 
Raila the Cash Cow wa

Bahati mbaya pia CJ kakataa report yao ya baada ya zoezi la kupekua server na baadhi ya ma box ya kura amesema report inayotambulika ni ile ya registrar wa mahakama na kwenye report ya registrar wa mahakama upande wa Odinga ulisema mambo yako sawa. Mzee watu wanakula pesa zake tu na kujipatia manufaa kisiasa

Mbona uchaguzi uliopita alishinda kesi uchaguzi ukafutwa?.
 
Haina shida tusubiri, uchaguzi uliopita dosari kubwa ilikua ni IEBC ilishindwa kuthibitisha matokeo ya kwenye vituo kwenye form 34A ni sawa sawa na yale waliyokuwa nayo kwenye national tallying center, pia walishindwa kutoa access ya server, round hii vyote hivyo vipo
 
angewasubiri watu ambao walikuwa washakimbilia serena hotel walipowekwa siku kadhaa bila hata nguo za kubadilisha,unajua walikuwa wamepanga kumteka chebukati? katangaza muda sahihi kabisa ,kitakachotokea ni mkahakama kuu kutoa mapendekezo ya kuboresha system ya uchaguzi na tume ya uchaguzi
View attachment 2343521

Hapo uchaguzi ufutwe na Tume ivunjwe. Inaonekana Tume imepasuka na kila upande una mgombea wake.
 
Hiyo ndiyo sehemu pekee kenya iatakapotokea vurugu jumatatu baada ya Mungu wao raila kupigwa chini sababu kesi imeisha hakuna evidence yoyote ya maana waliyowasilisha ni vituko

Ushahidi gani ni vituko?. Kumbuka hi kesi sio ya Raila pekee Bali Kuna wakenya wengine 6 wameunga wa kwenye kesi hii. Kuna hoja upande wa Ruto na IEBC umeshindwa kujibu.
 
Back
Top Bottom