econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
kwani members wote wa baraza la usalama la kenya unawajua? chebukati kawataja kwamba walimtembelea saa 9 usiku kufosi kubadili matokeo na Tuju kakubali, hadi IGP kajipa likizo ya matibabu, wako hajakanusha madai mazito kama hayo sema wewe ndiye unakanusha kwa niaba yake
members kadhaa wa national security council walikuwepo akiwepo huyo state attorney wa zamani, amos wako
Hawajataja hata mjumbe mmoja wa security council. Unamuamini chebukati huyu aliyeharibu uchaguzi wa 2017 mpaka ukafutwa na mahakama ya juu. Mahakama imeiiuliza IEBC kwanini imeharakisha kutoa matokeo wakati walikuwa na siku moja ya kutoa tofauti zao.