Kenya 2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

Kenya 2022 General Election

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi

Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika wangekuwa kwenye simu kupata malekezo kutoka juu imekuwa na mvuto hadi katika nchi yenye matatizo ya kuibia watu bando la internet

Naam Baba Raila byebye kwishney , mtaalamu wako wa IT bwana Njoroge kakusaliti vibaya sana ka mislead ma lawyers haswa miss soweto wakajichoresha mahakamani,Ruto hatari sana

njoroge 2.JPG
njoroge 1.JPG
njoroge 3.JPG
 
Mambo sio marahisi kama unavyofikiria.
Ruto kacheza hii game smart sana, leo ushahidi wa huyo njoroge uliotumiwa na ma lawayers wa Raila umegeuka kichekesho
Raila kaangushwa na vingi, hakuwa hata na ma agents karibu asilimia 50 ya pllling stations, kina Joho, Junet Mohamed walikula hel ya agents wakaweka nguvu mombasa tu na kuna mazungumzo ya simu walirekodiwa wakimkebehi Raila
Subiri jumatatu baada ya hukumu timbwili litakalozuka huko azimio
kwa conclusion ya leo ya jaji mkuu Koome naona kama jumatatu atakataa madai ya servers kudukuliwa sababu forms physically zilihesabiwa ila atashauri tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho
 
Hustler anaapishwa tarehe 13....huyo Mganga hana watu wa mikakati na washauri wazuri linapokuja suala la kushinda uchaguzi...

Raila hajui kushinda uchaguzi ni mikakati...alidhani deep state itaagiza atangazwe hata asiposhinda...imekula kwake...aende Bondo apumzike sasa
 
Kwa Kenya ni vigumu deep state kuingilia sio Kama Tanzania.
 
Ruto kacheza hii game smart sana, leo ushahidi wa huyo njoroge uliotumiwa na ma lawayers wa Raila umegeuka kichekesho
Raila kaangushwa na vingi, hakuwa hata na ma agents karibu asilimia 50 ya pllling stations, kina Joho, Junet Mohamed walikula hel ya agents wakaweka nguvu mombasa tu na kuna mazungumzo ya simu walirekodiwa wakimkebehi Raila
Subiri jumatatu baada ya hukumu timbwili litakalozuka huko azimio
kwa conclusion ya leo ya jaji mkuu Koome naona kama jumatatu atakataa madai ya servers kudukuliwa sababu forms physically zilihesabiwa ila atashauri tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho
Hahaha....... labda Rais wa Venezuela
 
Tuwaombee Mungu ndugu zetu Wakenya wasiingie kwenye machafuko tu.
 
Hawawezi upeo wao kwa sasa ni mkubwa mnoo, ila lazima Raila atalazimisha machafuko sababu hata hii kesi inayoendelea alitaka wafuasi wake wafanye sit down nje ya mahakama baadaaye akaghairi, maskini wa kibera walimuambia wamechoka kutumika na mtu anayedai kuibiwa kila uchaguzi tena safari hii akisaidiwa na incumbent
 
Naona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.
 
Kwa Kenya ni vigumu deep state kuingilia sio Kama Tanzania.
Amos wako mwnasheria mkuu wa zamani wa kenya, afisa mkubwa jeshi mwenye nyota tatu jenerali, mkuu wa jeshi la polisi na wengine wa baraza la usalama la kenya pamoja na katibu mkuu wa chama cha raila, Raphael Tuju walimtembelea chebukati saa tisa usiku siku anatangaza matokeo kufosi ayabadili akakataa

alipewa na ahadi ya 500 millions ya kenya akakataa, hapo chebukati na wenzake wawili walisimamia kucha tu ila jamaa kama nchi wamepiga hatua sana hapa miaka 2 imepita kuna forms mahera hataki kuziweka mtandaoni kama sheria inavyosema watu walinganishe mahesabu
kenya forms 46,000 zilipanda in 2 days

IGP wa kenya kabla ya hii kesi kuanza alishanusa aibu akaomba likizo ya kimatibabu nafasi yake inakaimiwa na msaidizi wake aliyetuliza fujo za wafuasi wa Raila pale boma na matokeo yakatangazwa
 
Naona ni kama Kenya imegawanyika nusu kwa nusu Raisi atakaeshinda ana kazi ya kiwaunganisha Ndugu zetu Wakenya.
hahahahaha kwa taarifa yako wakikuyu weeeengi wamempa ruto hawataki mjaluo labda watu wa kisumu ndiyo watakunja, cha kwanza Ruto kaahidi kufanyia kazi ni kushusha bei ya unga, in few days akifanikisha hakuna atakumbuka ujinga wa Raila
 
Nimeamini ule msemo wa "Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu"

Raila kafanya kazi kubwa sana kuing'oa KANU madarakani na imekuwa Chama cha Upinzani .
 
Mmeshindwa kwenda mahakamani kupinga tozo. Ila ni Wajuaji wa Mambo ya Kenya! Wabongo bhanaa.
mahakama iko nairobi au kinondoni? majaji wapi sasa we mzeeee? embu tumia akili bana tunazungumzia majaji wa kenya, kuna jaji hapa atapingana na kauli ya mwigulu kwamba wananchi wanaifurahia tozo na waliipendekeza?
unataka akose marupurupu?
 
Back
Top Bottom