Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA

Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.

Je, hii inatupatia picha gani kwenye masuala ya kimataifa? Je, Ruto alikuwa na ulazima wa kuongelea suala la uchaguzi wa Tanzania? Vilevile inatuonesha namna ipi ya viongzi waliko Kenya?

Kwa namna ya kiongozi mkuu anavyo act ni reflection ya watu wake. Na tunaweza kuona kabisa vyombo vya habari vya kenya na taasisi zote zipo na baraka kutoka Ikulu ya Kenya kuichua Tanzania.

Hii siyo bahati mbaya, ni mipango iliyopangwa na serikali hiyo kutengeneza narratives negatives kuhusu Tanzania ili kwa muda wake wa utawala aweze kupunguza kasi ya maendeleo ya Tanzania, huku wakijua kabisa nchi ya kenya inaanguka kwa speed kubwa mno.

Kwakuwa Kenya ilikuwa ikiongoza kwa uchumi Afrika mashariki, kuibuka kwa Tanzania imekuwa tishio la uchumi wa kenya ambo unategemea kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka mataifa mbalimbali na kuzisambaza hapa Afrika Mashariki.

Kiongozi wa nchi kuongea kwenye vyombo vya habari uongo, si kwamba tu anatengeneza mgogoro wa kidimplomasia bali anaitangazia dunia kuwa yeye si wa kuaminika na utawala wake hauna watu makini.

NAWASILISHA
 
Negati8muitengeneze wenyewe halafu mutake watu waache kuiongelea?

Mnatumia mawazo ya bashiru kakurwa kwamba chama kilichopo madarakani kuachia KITI ni kujitakia chenyewe? Na kwamba lazima kitumie Dola kubaki madarakani?

Ndio maana Maza wenu kamteua huyo bashiru ili aendelee kumshauri
 
Tuache uongo, hakupata kura hizo, leta chanzo chako cha habari, yaani apate kura hizo na marehemu raila odinga apate ngapi!? Mkishapewa hizo buku 7 saba na akili mnaweka matakoni kabisa.

Kenyata alipata kama 50+ hivi na railq 40 na kitu hivi

Huo uchaguzi wa pili ambao raila aliususia, uhuru alipata kweli asilimia 90+ ila tizama idadi ya kura zake utagundua kitu

Uchaguzi wa kwanza alipata kura milioni 8+ wa pili ambao raila aliususia alipata kura milioni 7+ pungufu ya takriban kura laki 8.. hiyo asilimia ilikuja sababu mpinzani wake hakushiriki lakini sio kwamba kura zilizidi
 
1000196292.jpg
1000197728.jpg
 
Tatizo siyo 98% bali kura milioni 32 ambazo zimetokana na maruhani.
Mchezo huu mchafu ulianzia kwenye zoezi uboreshaji wa daftari la wapiga kura ambapo walikuja na idadi ya milioni 37 ya mfukoni.
 
Tanzania ni nani ? Watawala ndio Tanzania... Kama yeye aliiba 2017 ndio na atetee wizi wa sasa...

By the way hakuna politician kama Ruto amejibu diplomatically kabisa bila kuunga mkono uchafuzi.

"It's not for me to judge Tanzania. In a democracy, for example, in Kenya, you can never get 96%. Every country has a way of doing its stuff. But I think democracy is the best governance system," Ruto stated.

"It is not always tidy, easy, because there are all manner of moving parts, but I think we must work together to ensure that we protect democracy."

Ila kama upuuzi wetu ni kuangalia tunaonekanaje na watu wanasema na sio kurebisha matatizo yetu (ambayo kweli yapo)

Ni ujinga kujitangaza umeshinda 97% halafu unaapishwa machakani.

Toka tuanze kuchagua rais hatujawahi kuona rais anaapishwa vichakani Huku amezungukwa na vifaru kila kona.

Kama umeshinda asilimia zote hizo KwaNini hutaki kuapishwa kwenye Umma kama uwanja wa mpira ili wakuone wanajamii?
 
Next time ukija hapa uje na taarifa sahihi not writing incorrect info

Uchaguzi wa 2017 William Ruto didn't run as president but deputy president, alikuwa mgombea mwenza wa Uhuru Kenyatta by then.

Initia result zilikuwa terminated na supreme court na kura zikahesabiwa tena.

Na hiyo 98% si ya ruto alone, juu ni uhuru Kenyatta

Mara ya kwanza Ruto ku run as president was 2022.

Na kura aliyopata ni 50.49% Against Raila ambaye alipata 48.85%

So kusema alipapata 98% alone is absolute bullshit
 
Acha kukurupuka. Nani amesema Ruto ali run election 2017 Kwikwikwikwi acha kukurupuka
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Next time ukija hapa uje na taarifa sahihi not writing incorrect info

Uchaguzi wa 2017 william ruto didnt run as president but deputy president, alikuwa mgombea mwenza wa uhuru kenyata by then.
Initia result zilikuwa terminated na supreme court na kura zikahesabiwa tena
Na hiyo 98% si ya ruto alone, juu ni uhuru kenyata

Mara ya kwanza ruto ku run as president wa s 2022.
Na kura aliyopata ni 50.49%
Against raila ambae alipata 48.85%

So kusema alipapata 98% alone is absolutr bullshit
1762843416035.png
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA

Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.

Je, hii inatupatia picha gani kwenye masuala ya kimataifa? Je, Ruto alikuwa na ulazima wa kuongelea suala la uchaguzi wa Tanzania? Vilevile inatuonesha namna ipi ya viongzi waliko Kenya?

Kwa namna ya kiongozi mkuu anavyo act ni reflection ya watu wake. Na tunaweza kuona kabisa vyombo vya habari vya kenya na taasisi zote zipo na baraka kutoka Ikulu ya Kenya kuichua Tanzania.

Hii siyo bahati mbaya, ni mipango iliyopangwa na serikali hiyo kutengeneza narratives negatives kuhusu Tanzania ili kwa muda wake wa utawala aweze kupunguza kasi ya maendeleo ya Tanzania, huku wakijua kabisa nchi ya kenya inaanguka kwa speed kubwa mno.

Kwakuwa Kenya ilikuwa ikiongoza kwa uchumi Afrika mashariki, kuibuka kwa Tanzania imekuwa tishio la uchumi wa kenya ambo unategemea kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka mataifa mbalimbali na kuzisambaza hapa Afrika Mashariki.

Kiongozi wa nchi kuongea kwenye vyombo vya habari uongo, si kwamba tu anatengeneza mgogoro wa kidimplomasia bali anaitangazia dunia kuwa yeye si wa kuaminika na utawala wake hauna watu makini.

NAWASILISHA
Akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tuliobahatika Kusoma na Kuishi na hawa Wapumbavu na Washamba Wakenya huwa tunashangaa mno kuwaona Watanzania wanawasifia na kuwapenda Wakenya wakati Kihistoria tunaowajua vyema tunajua kuwa hawatupendi Watanzania na kutwa wanatuita Sisi Mazuzu, Watu tusioelimika na hatujasoma huku tukiwa hatujui Lugha ya Kiingereza kama Wao.
 
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA

Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.

Je, hii inatupatia picha gani kwenye masuala ya kimataifa? Je, Ruto alikuwa na ulazima wa kuongelea suala la uchaguzi wa Tanzania? Vilevile inatuonesha namna ipi ya viongzi waliko Kenya?

Kwa namna ya kiongozi mkuu anavyo act ni reflection ya watu wake. Na tunaweza kuona kabisa vyombo vya habari vya kenya na taasisi zote zipo na baraka kutoka Ikulu ya Kenya kuichua Tanzania.

Hii siyo bahati mbaya, ni mipango iliyopangwa na serikali hiyo kutengeneza narratives negatives kuhusu Tanzania ili kwa muda wake wa utawala aweze kupunguza kasi ya maendeleo ya Tanzania, huku wakijua kabisa nchi ya kenya inaanguka kwa speed kubwa mno.

Kwakuwa Kenya ilikuwa ikiongoza kwa uchumi Afrika mashariki, kuibuka kwa Tanzania imekuwa tishio la uchumi wa kenya ambo unategemea kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka mataifa mbalimbali na kuzisambaza hapa Afrika Mashariki.

Kiongozi wa nchi kuongea kwenye vyombo vya habari uongo, si kwamba tu anatengeneza mgogoro wa kidimplomasia bali anaitangazia dunia kuwa yeye si wa kuaminika na utawala wake hauna watu makini.

NAWASILISHA
Tumia kichwa kufikiri sio kuwa kama kishikio hivi unamdanganya nani?
 
Back
Top Bottom