Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.
Voter turnout ilikua ngapi? Mind you Oding alijitoa uchaguzi wa marudio so technically ilikua 1 horse race.

Kingine issue sio 97% maana seriously chaumma wasingeweza pata hata 5% hata kama kura zisingeibwa ila voter turnout. Kwamba Odinga alivyojitoa voter turnout ingekua 88%? Umesahau ilikua 39%!!

Acheni utapeli
 
Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA


Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.

Je, hii inatupatia picha gani kwenye masuala ya kimataifa? Je, Ruto alikuwa na ulazima wa kuongelea suala la uchaguzi wa Tanzania? Vilevile inatuonesha namna ipi ya viongzi waliko Kenya?

Kwa namna ya kiongozi mkuu anavyo act ni reflection ya watu wake. Na tunaweza kuona kabisa vyombo vya habari vya kenya na taasisi zote zipo na baraka kutoka Ikulu ya Kenya kuichua Tanzania.

Hii siyo bahati mbaya, ni mipango iliyopangwa na serikali hiyo kutengeneza narratives negatives kuhusu Tanzania ili kwa muda wake wa utawala aweze kupunguza kasi ya maendeleo ya Tanzania, huku wakijua kabisa nchi ya kenya inaanguka kwa speed kubwa mno.

Kwakuwa Kenya ilikuwa ikiongoza kwa uchumi Afrika mashariki, kuibuka kwa Tanzania imekuwa tishio la uchumi wa kenya ambo unategemea kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka mataifa mbalimbali na kuzisambaza hapa Afrika Mashariki.

Kiongozi wa nchi kuongea kwenye vyombo vya habari uongo, si kwamba tu anatengeneza mgogoro wa kidimplomasia bali anaitangazia dunia kuwa yeye si wa kuaminika na utawala wake hauna watu makini.

NAWASILISHA
Wewe ndo kiazi. Alisema nchi yenye demokrasia huwezi pata %zote hizo peke yako.

Tanzania tuna chama kikuu cha upinzani ambacho kilijitoa kwenye kinyang'anyiro. Wafuasi wake unajua ni %ngapi ya waliojiandikisha kupiga kura?

Kura zao alipewa nani??????
 
Back
Top Bottom