President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Watu wangapi walikufa vile 2017 huko kenya vile ?
Acha kukurupuka. Nani amesema Ruto ali run election 2017 Kwikwikwikwi acha kukurupukaNext time ukija hapa uje na taarifa sahihi not writing incorrect info
Uchaguzi wa 2017 William Ruto didn't run as president but deputy president, alikuwa mgombea mwenza wa Uhuru Kenyatta by then.
Initia result zilikuwa terminated na supreme court na kura zikahesabiwa tena.
Na hiyo 98% si ya ruto alone, juu ni uhuru Kenyatta
Mara ya kwanza Ruto ku run as president was 2022.
Na kura aliyopata ni 50.49% Against Raila ambaye alipata 48.85%
So kusema alipapata 98% alone is absolute bullshit
Next time ukija hapa uje na taarifa sahihi not writing incorrect info
Uchaguzi wa 2017 william ruto didnt run as president but deputy president, alikuwa mgombea mwenza wa uhuru kenyata by then.
Initia result zilikuwa terminated na supreme court na kura zikahesabiwa tena
Na hiyo 98% si ya ruto alone, juu ni uhuru kenyata
Mara ya kwanza ruto ku run as president wa s 2022.
Na kura aliyopata ni 50.49%
Against raila ambae alipata 48.85%
So kusema alipapata 98% alone is absolutr bullshit
Jist fact checking, dont get madAcha kukurupuka. Nani amesema Ruto ali run election 2017 Kwikwikwikwi acha kukurupuka
Akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tuliobahatika Kusoma na Kuishi na hawa Wapumbavu na Washamba Wakenya huwa tunashangaa mno kuwaona Watanzania wanawasifia na kuwapenda Wakenya wakati Kihistoria tunaowajua vyema tunajua kuwa hawatupendi Watanzania na kutwa wanatuita Sisi Mazuzu, Watu tusioelimika na hatujasoma huku tukiwa hatujui Lugha ya Kiingereza kama Wao.Na Dr. Maureen Olesumba Laizer
Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara
2021 Hawkins Circle
LOS ANGELES, CA 90001-2257
USA
Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa kuchaguliwa kwa kura 97% akisema kenya haliwezi kutokea jambo kama hilo. Huku akijiondoa ufahamu kuhusu uchaguzi wa kenya uliofanyika 2017 wakati Uhuru na Ruto walipata 98.26% ya kura.
Je, hii inatupatia picha gani kwenye masuala ya kimataifa? Je, Ruto alikuwa na ulazima wa kuongelea suala la uchaguzi wa Tanzania? Vilevile inatuonesha namna ipi ya viongzi waliko Kenya?
Kwa namna ya kiongozi mkuu anavyo act ni reflection ya watu wake. Na tunaweza kuona kabisa vyombo vya habari vya kenya na taasisi zote zipo na baraka kutoka Ikulu ya Kenya kuichua Tanzania.
Hii siyo bahati mbaya, ni mipango iliyopangwa na serikali hiyo kutengeneza narratives negatives kuhusu Tanzania ili kwa muda wake wa utawala aweze kupunguza kasi ya maendeleo ya Tanzania, huku wakijua kabisa nchi ya kenya inaanguka kwa speed kubwa mno.
Kwakuwa Kenya ilikuwa ikiongoza kwa uchumi Afrika mashariki, kuibuka kwa Tanzania imekuwa tishio la uchumi wa kenya ambo unategemea kwenye uagizaji wa bidhaa kutoka mataifa mbalimbali na kuzisambaza hapa Afrika Mashariki.
Kiongozi wa nchi kuongea kwenye vyombo vya habari uongo, si kwamba tu anatengeneza mgogoro wa kidimplomasia bali anaitangazia dunia kuwa yeye si wa kuaminika na utawala wake hauna watu makini.
NAWASILISHA
Title inasema hivi: Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?Jist fact checking, dont get mad
Tumia kichwa kufikiri sio kuwa kama kishikio hivi unamdanganya nani?Na Dr. Maureen Olesumba Laizer