Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

Voter turnout ilikua ngapi? Mind you Oding alijitoa uchaguzi wa marudio so technically ilikua 1 horse race.

Kingine issue sio 97% maana seriously chaumma wasingeweza pata hata 5% hata kama kura zisingeibwa ila voter turnout. Kwamba Odinga alivyojitoa voter turnout ingekua 88%? Umesahau ilikua 39%!!

Acheni utapeli
 
Wewe ndo kiazi. Alisema nchi yenye demokrasia huwezi pata %zote hizo peke yako.

Tanzania tuna chama kikuu cha upinzani ambacho kilijitoa kwenye kinyang'anyiro. Wafuasi wake unajua ni %ngapi ya waliojiandikisha kupiga kura?

Kura zao alipewa nani??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…