Wanamtaka nani!?? Bibi yao!?Ruto must go hapo hajaelewa nini? maana yake hawamtaki yeye.
Go? Where?Ruto must go hapo hajaelewa nini? maana yake hawamtaki yeye.
Sijui, mgomo ujao fatilia labda wanaweza wakabeba mabango ya wanaomtaka.Wanamtaka nani!?? Bibi yao!?
Kipigo au unawatakia kuuawa? Kwa sababu kama ni vipondo wamekula sana tu.Hao vijana mwanzoni walikuwa sahihi,lakini kwasasa wameota mapembe wanahitaji KIPIGO kizito.
Wasimtake wao akina nani? Wakati wa kupiga kura walikuwa wapi? Niko upande wa Ruto, wasitake kuharibu nchi kwa kutumiwa na Nyanza! Wamemshinikiza awafute kazi mawaziri amefanya hivyo, sasa wanataka wamwondoe ili nani atawalia? Namwomba awafanyie ukatili wa hali ya juu mpaka waseme!Hawakutaki.
Busara ya Ruto imevuka mipaka.Nchi sio ya gen z peke yao, kama wao hawamtaki basi wawe wavumilivu.
Kama busara Ruto kaionesha sana tu.
CHADEMA walitaka kuleta za kuletwa mbele ya Chuma kikakohoa mara moja tu sikuwasikia tena!😁😁Busara ya Ruto imevuka mipaka.
Yako wazi wapi wanaruka ruka tu!Uongozi sio kumlazimisha unayemuongoza bali ni khiyari ya unayemuongoza....matakwa ya vijana yapo wazi kabisa.......
Sahihi kabisa, mwanzo tulijua wanachopambania ila mwisho wa siku ni kama hata wao hawajui nini wanachopambania! Wanyooshwe tu, hakuna nchi inayoendeshwa kihuni namna hiyo.Hao vijana mwanzoni walikuwa sahihi,lakini kwasasa wameota mapembe wanahitaji KIPIGO kizito.
Wanamtaka Nani??Anarchy?Ruto Anawaendekeza,Serikali ya Kenya Inawaendekeza.Kiufupi wanayo madai Genuine ila Kiserikali kuna mambo Mengi sana wanapaswa kuelewa Mojawapo ni Kwamba TAIFA lazima liendelee kuwepo.Ruto must go hapo hajaelewa nini? maana yake hawamtaki yeye.
uliwah kuona wap rais ajiulzulu?Ruto must go hapo hajaelewa nini? maana yake hawamtaki yeye.
sijakuelewa, hayo ndo matakwa ya Gen Z wa kenya, maswali ya kuona wapi hayanihusu.uliwah kuona wap rais ajiulzulu?
Mkauwe mamaye zenyu nyinyi mbwa wa nchi masikini,mkafuatilie siasa za nchi yenyu Hilo tz takataka nyie mashetani.Kabisa mwanzo niliwaunga mkono hata mimi lakini now wapewe haki yao ikibidi hata kuuliwa
Ya Kenya si sawa na hapa Tz, wenzetu raia kwa kiasi fulani wanasikikizwa.Tatizo la viongozi kujisahau kwa muda mrefu. Kinachotokea sasa hivi ni wingi wa vijana wasio na kazi kutoa frustration zao. Ni ngumu sana kumtuliza kijana asiye na future na mwenye njaa na mbaya zaidi wengi ni ma-jobless. Tukiwaambia CCM walete mabadiliko kabla mambo hayajawa mabaya wanatoa kebehi. Utekaji wanasema ni ''drama''. Tozo kubwa wanaita ''vitozo''. Tukilalamika wanasema ''tuhamie Burundi''. Machinha wakilalamika kufukuzwa wanaambiwa ''hivi mtu unafanyaje umachinga mpaka mvi zinatoka''. Tafakarini!
Hiyo ndiyo dawa ya wapumbavuAtembeze kichapo