Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Hawakutaki.
Wasimtake wao akina nani? Wakati wa kupiga kura walikuwa wapi? Niko upande wa Ruto, wasitake kuharibu nchi kwa kutumiwa na Nyanza! Wamemshinikiza awafute kazi mawaziri amefanya hivyo, sasa wanataka wamwondoe ili nani atawalia? Namwomba awafanyie ukatili wa hali ya juu mpaka waseme!
 
Hao vijana mwanzoni walikuwa sahihi,lakini kwasasa wameota mapembe wanahitaji KIPIGO kizito.
Sahihi kabisa, mwanzo tulijua wanachopambania ila mwisho wa siku ni kama hata wao hawajui nini wanachopambania! Wanyooshwe tu, hakuna nchi inayoendeshwa kihuni namna hiyo.
 
Ruto must go hapo hajaelewa nini? maana yake hawamtaki yeye.
Wanamtaka Nani??Anarchy?Ruto Anawaendekeza,Serikali ya Kenya Inawaendekeza.Kiufupi wanayo madai Genuine ila Kiserikali kuna mambo Mengi sana wanapaswa kuelewa Mojawapo ni Kwamba TAIFA lazima liendelee kuwepo.
 
Tatizo la viongozi kujisahau kwa muda mrefu. Kinachotokea sasa hivi ni wingi wa vijana wasio na kazi kutoa frustration zao. Ni ngumu sana kumtuliza kijana asiye na future na mwenye njaa na mbaya zaidi wengi ni ma-jobless. Tukiwaambia CCM walete mabadiliko kabla mambo hayajawa mabaya wanatoa kebehi. Utekaji wanasema ni ''drama''. Tozo kubwa wanaita ''vitozo''. Tukilalamika wanasema ''tuhamie Burundi''. Machinha wakilalamika kufukuzwa wanaambiwa ''hivi mtu unafanyaje umachinga mpaka mvi zinatoka''. Tafakarini!
Ya Kenya si sawa na hapa Tz, wenzetu raia kwa kiasi fulani wanasikikizwa.
Hapa kwetu tatizo ni kubwa zaidi.
 
1. Ruto apewe nafasi ya kuongoza Kenya. Maana hakuingia Kwa maandamano hivyo hawez kutoka kimaandamano.

3 vinginevyo atoe anti ya "shoot to kill" Kwa yeyote anayefanya uhaini.
 
Back
Top Bottom