Awashughulikie bila huruma. Eti GenZ hawatak Mawaziri wa zamani warejeshwe kwenye baraza. Katiba inakata Hilo?Tanzania tunaishi kwa hisani ya Rais na hakuna mtu anahoji, watu wanapotea na mambo ya ajabu ajabu lakini kimya, Ruto shughulika nao mwanzo nilikuwa upande wao kumbe ni wajinga
Hovyo kabisa vijana hawaa...Anajiona ana haki pekee
Mzee kawaita kwenye mdahalo hawataki wanakimbilia maandamo, ashughulike nao kdg nidhamu iwepoAwashughulikie bila huruma. Eti GenZ hawatak Mawaziri wa zamani warejeshwe kwenye baraza. Katiba inakata Hilo?
Ruto kacheza fair snHovyo kabisa vijana hawaa...
Sijawahi ona. Kavuka mstari wa uvumilivu.Ruto kacheza fair sn
Mkuu tatizo la Wakenya wanaona fahari kuongea ongea kwenye media huku wakitaja vipengele vya Katiba. Bila kuelewa Amani ikipotea hata hiyo katiba ni mkusanyiko wa makaratasi tu.Mzee kawaita kwenye mdahalo hawataki wanakimbilia maandamo, ashughulike nao kdg nidhamu iwepo
Amejishusha Sana na kuwasililiza bado GenZ wanaleta ujuajiTime never do lie , Generation Z wanaenda kumuweka bench RUTO
Angetumia polite language to talk with generation z everything could be on right way .
most of the Kenyans youths are heart fainted they have nothing to lose.
Failure manWamesema niondoe Finance Bill nami nimeiondoa, Nimewaita tukutane wanasema wao hawana Viongozi tukutane X, nimeenda huko X wote wamenikimbia, sasa Wanataka nini zaidi?
Nasema sasa imetosha hatuwezi kuendelea namna hii
View attachment 3047997
Raila kaongea vizuri sn wala hayuko na hawa wapuuzi, mwanzo kila mtu alikuwa upande wao lakini wamezidi sasaMkuu tatizo la Wakenya wanaona fahari kuongea ongea kwenye media huku wakitaja vipengele vya Katiba. Bila kuelewa Amani ikipotea hata hiyo katiba ni mkusanyiko wa makaratasi tu.
Raila Bora unyamaze pia. Umri umesogea Sana.
Amejishusha Sana na kuwasililiza bado GenZ wanaleta ujuaji
Raila kaongea vizuri sn wala hayuko na hawa wapuuzi, mwanzo kila mtu alikuwa upande wao lakini wamezidi sasa
Nadhani ngoja washughulikiwe kidogo tuona watakimbilia wapi? ni wajinga sn, sisi huku majitu yanaiba mpk na mikataba ya hovyo inafungwa tupo busy na habari za Simba na Yanga, wao wamesikilizwa lakini wameonyesha upumbavuHawa vijana sio wapuuzi isipokuwa wameamua kutoingia mtego wa wanasiasa na wao kuingia FRONT.
Ukiwasililiza wanasiasa Kama ODINGA hauwezi kuleta mabadiliko .
Nadhani ngoja washughulikiwe kidogo tuona watakimbilia wapi? ni wajinga sn, sisi huku majitu yanaiba mpk na mikataba ya hovyo inafungwa tupo busy na habari za Simba na Yanga, wao wamesikilizwa lakini wameonyesha upumbavu
Mbona unakwepa swali, huku inafungwa mikataba ya hovyo + wizi wa kutisha mbona upo kimya?Don't trust politicians mkuu
Generation Z wapo kwenye momentum nzuri to leave a mark.
Kenya ni nchi masikini Sana ardhi yote wamepewa matajiri wanalima maua
I wish to see generation Z they get an opportunity to hold power in this blind country.
Mbona unakwepa swali, huku inafungwa mikataba ya hovyo + wizi wa kutisha mbona upo kimya?
Hawawez kupewa nafasi ikiwa hawana structure inayoeleweka. Sasa Hawataki Mawaziri unajiuliza Hawa wanajielewa kweli?Don't trust politicians mkuu
Generation Z wapo kwenye momentum nzuri to leave a mark.
Kenya ni nchi masikini Sana ardhi yote wamepewa matajiri wanalima maua
I wish to see generation Z they get an opportunity to hold power in this blind country.
Hapana mabadiliko yanaanza na wewe, unafurahia CCM wanavyoiba mali za umma?It matter of time mkuu
Hao jamaa wanatuma ujumbe mzuri Sana kuwaamsha viongozi wa nchi jirani .
Uzuri mabadiliko yakifika just know that you can kill revolutionary but you can't kill revolution wave .
Hapana mabadiliko yanaanza na wewe, unafurahia CCM wanavyoiba mali za umma?