Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Mzee kawaita kwenye mdahalo hawataki wanakimbilia maandamo, ashughulike nao kdg nidhamu iwepo
Mkuu tatizo la Wakenya wanaona fahari kuongea ongea kwenye media huku wakitaja vipengele vya Katiba. Bila kuelewa Amani ikipotea hata hiyo katiba ni mkusanyiko wa makaratasi tu.

Raila Bora unyamaze pia. Umri umesogea Sana.
 
Time never do lie , Generation Z wanaenda kumuweka bench RUTO

Angetumia polite language to talk with generation z everything could be on right way .

most of the Kenyans youths are heart fainted they have nothing to lose.
 
Utafikiaje muafaka na muongo, tapeli na mzandiki ?, Kama aliyosema hapo nyuma leo hii hayatekelezi haya ya leo ndio atakatekeleza au ni kupiga danadana na ku buy time ?

Madogo jambo kubwa linalowakumba ni maisha yasiyo na future prospects wakianza kurekebisha hilo watahakikisha haya hayatajitokeza tena when Gen Alpha come of age... (Nadhani time of dialogue ishaonekana haifanyi kazi what is needed ni kufanyia mambo kazi - Actions Speaks Louder)
 
Time never do lie , Generation Z wanaenda kumuweka bench RUTO

Angetumia polite language to talk with generation z everything could be on right way .

most of the Kenyans youths are heart fainted they have nothing to lose.
Amejishusha Sana na kuwasililiza bado GenZ wanaleta ujuaji
 
Mkuu tatizo la Wakenya wanaona fahari kuongea ongea kwenye media huku wakitaja vipengele vya Katiba. Bila kuelewa Amani ikipotea hata hiyo katiba ni mkusanyiko wa makaratasi tu.

Raila Bora unyamaze pia. Umri umesogea Sana.
Raila kaongea vizuri sn wala hayuko na hawa wapuuzi, mwanzo kila mtu alikuwa upande wao lakini wamezidi sasa
 
Amejishusha Sana na kuwasililiza bado GenZ wanaleta ujuaji

Generation Z madai yao ndo kitu pekee angejikita kukijibu

-Unemployment issue
-High cost of living
-national embezzlement
-corruption
-Tribalism
-Regionalism
-Nepostism
-Land alienation -most of Kenyans lands are possessed by the richest only.
-Taxation

Akirekibisha hapo basi atakuwa hana haja ya yeye kutoka madarakani

Peoples always are not blind -wanakuwa wanakusubiri .

And the bad thing of revolution you can kill revolutionary but you can't kill revolution wave .
 
Hawa vijana sio wapuuzi isipokuwa wameamua kutoingia mtego wa wanasiasa na wao kuingia FRONT.

Ukiwasililiza wanasiasa Kama ODINGA hauwezi kuleta mabadiliko .
Nadhani ngoja washughulikiwe kidogo tuona watakimbilia wapi? ni wajinga sn, sisi huku majitu yanaiba mpk na mikataba ya hovyo inafungwa tupo busy na habari za Simba na Yanga, wao wamesikilizwa lakini wameonyesha upumbavu
 
Don't trust politicians mkuu
Generation Z wapo kwenye momentum nzuri to leave a mark.

Kenya ni nchi masikini Sana ardhi yote wamepewa matajiri wanalima maua

I wish to see generation Z they get an opportunity to hold power in this blind country.
 
Mbona unakwepa swali, huku inafungwa mikataba ya hovyo + wizi wa kutisha mbona upo kimya?
 
Don't trust politicians mkuu
Generation Z wapo kwenye momentum nzuri to leave a mark.

Kenya ni nchi masikini Sana ardhi yote wamepewa matajiri wanalima maua

I wish to see generation Z they get an opportunity to hold power in this blind country.
Hawawez kupewa nafasi ikiwa hawana structure inayoeleweka. Sasa Hawataki Mawaziri unajiuliza Hawa wanajielewa kweli?
 
It matter of time mkuu

Hao jamaa wanatuma ujumbe mzuri Sana kuwaamsha viongozi wa nchi jirani .

Uzuri mabadiliko yakifika just know that you can kill revolutionary but you can't kill revolution wave .
Hapana mabadiliko yanaanza na wewe, unafurahia CCM wanavyoiba mali za umma?
 
Hapana mabadiliko yanaanza na wewe, unafurahia CCM wanavyoiba mali za umma?

Mimi huwa simwamini mwanasiasa yeyote

Pia siungi mkono rushwa na pia sipo tayari kuandamana kwa kuongozwa na mwanasiasa.

Generation Z mpaka muda huu wametoa ujumbe mzuri kuwa wanauwezo wa kuleta mabadiliko chanya wao Kama wao bila kuwa chini ya mwanasiasa yeyote.
 
Back
Top Bottom