Bandugu hamjambo?
Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.
Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.
View attachment 2359610View attachment 2359611