Ruto, sadaka haitolewi Ikulu kama ni safi au chafu ipelekwe madhabahuni itakaswe

Ulijuaje ni sadaka?
Nivizuri kutokuwa na majibu ambayo huna uhakika nayo au kukaa kimya itahesabika kwako ni busara kuliko kuandika kitu ambacho sio wewe wala unaowaandikia tunajua ni Nini kilicho ndani ya hiyo bahasha.
Great thinkers 😜
 
Tusiwalaumu sana, Hawa viongozi wa dini nao ni binadamu kama sisi wana strengths and weaknesses zao pia. Cha msingi kila mtu ashinde mechi zake bingwa atajulikana mwisho wa ligi!
 
Bandugu hamjambo?

Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?
Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yyte aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpk wa leo.
Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.

Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.
Hiyo ni sadaka au kitu gani?Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha
Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi

Yani ulivyosema bahasha imejaa minoti nikajua bahasha imejaa haswa..... kumbe ni mambo ya umbea unaleta hapa jamaa angu
 
Kiongozi yeyeto anaejificha udhaifu wake kwenye dini ni mtu mbaya sana
 
Tangu zama za mababu watumishi wa Mungu (mitume na manabii) hufanya kazi chini ya watawa wa nchi (marais/wafalme)

Na watawala wanashirikiana na watumishi wa Mungu kufanikiwa kufanya kazi kwa amani sababu zipo siri au tafsiri za ndoto au maono ambazo hakuna anayeweza kuwa nayo isipokua wale waliokirimiwa na Mungu

Acha amani itawale
Watawala wa zamani walikuwa na hekima
 
Umejuaje kuwa ni hela? labda ni kitabu au kitu kingine

Okay sawa, kampa Mtumishi bahasha yenye pesa, sawa kabisa.

Kwani uliambiwa Mheshimiwa President dont have his own cash money.

Mwacheni sasa huyo Magufuli apumzike.
 
Sifikiri ipo dini inayoamini kifo ni adhabu! Acheni kutaka kuonesha JPM kafa kama adhabu ni laana unayochuma kwa Mungu wa hizi dini tunazoamini hata kama unatumia fake names humu.

Ni dhambi kuendelea kumsimanga mtu aliye mbele ya kiti cha hukumu ya aliyetuumba! Hata hapa duniani kesi ikishafika mahakamani haturuhusiwi kuizungumzia na kuizungumzia ni makosa kisheria!

Tumieni mitandaoni kwa umakini maana haikuepushi na dhambi, yumkini hata ya mauti!

Aliyesikia na Afahamu.
 
Tangu zama za mababu watumishi wa Mungu (mitume na manabii) hufanya kazi chini ya watawa wa nchi (marais/wafalme)

Na watawala wanashirikiana na watumishi wa Mungu kufanikiwa kufanya kazi kwa amani sababu zipo siri au tafsiri za ndoto au maono ambazo hakuna anayeweza kuwa nayo isipokua wale waliokirimiwa na Mungu

Acha amani itawale
Sio hawa mitume na manabii wa mchongo
 
Ambao hawakufanya hawakufa ?!!!!

Hata hao manabii wenyewe walikufa mwisho wa siku..., Kwahio logically Kifo sio Adhabu ni inevitable
 
Mwandishi, ondoa ujinga wako kichwani ndo utuletee huu upuzi!

Kuandika hujui, na ulichoandika ni ujinga tupu!?

Unanafasi ipi ktk ufalme wa Mungu kujua hii sadaka imejaa damu na hii haina damu?

Na je unaielewa maana ya madhabahu?
 
Wewe utakua ni mpumbavu, unasema ujinga ilihali wewe ndo mjinga, hakuna mamlaka isiyo toka kwa MUNGU kwa makusudi yake, wewe unaita ujinga? Farasi wewe
Ahaha,wagalatia mnachekesha,natamani Samia siku moja awaalike mashehe na maimamu ikulu awape sadaka ya namna yoyote,sipati picha jinsi mtavyotukana humu na chuki zenu kwa hiyo dini
 
Hio Co2 fafa, hapo inafanyakazi gani? Au kuna jiko hapo karibu ?
Bandugu hamjambo?

Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?

Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.

Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.

Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.

Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.

Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.

View attachment 2359610View attachment 2359611
 
Magufuli anazidi kuwa maarufu.

Kwa namna awamu hii ilivyopwaya hatuachi kumkumbuka.
Acha tu awe maarufu maradufu, la muhimu keshakufa kizembe na hatorudi tena na wala hatutomuona tena.
Ashukuriwe Mungu Mkuu kutuondoshea dhalimu lile
 
Kama sio mwizi. Utakua tapeli . au ulifukuzwa kwa vyeti feki.
 
Bandugu hamjambo?

Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?

Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.

Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.

Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.

Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.

Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.

View attachment 2359610View attachment 2359611
Hangaika na mambo unayoyaweza
 
Back
Top Bottom