Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wenda hufahamu China miradi ipo chini ya SOEs miradi mingi ya China mengine hufanyika hata pale palipo na uhitaji mdogo.China hawajengi miradi kwa sifa za kijinga. Wanajenga kile wanachohitajika kuwa nacho.
Sasa Tanzania unajenga SGR matrilioni ya pesa ili ubebe watu kwa nauli ya sijui elfu 30 kwenda Dodoma, hela yenyewe umekopa. Hizo ni akili?
Badala ukope ujenge viwanda vya sukari, nguo, small oil refinery au mradi wa kufua chuma. Wewe unakopa ujenge miundombinu ambayo kazi kubwa ni kupigia picha.
Hizi HSR, bridges kuna mahali zinafanyika construction kwa akili ya kipebari unaweza sema ni miradi ya kipigaji isiyo na tija mahali hapo lakini ukikumbuka kuwa China ni nchi ya falsafa ipi unaelewa wanacho fanya.
By the way lengo langu lilikuwa sio kujifananisha na China bali kujua wapi China wanafanikiwa tofauti na sisi tunaoachwa na rundo la madeni tunabaki kulalamika na kuwapa miradi wageni watuokoe.