Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Kwani internet Kenya inatumika kwa ajili ya social media tu?
Huenda kwa sasa Kenya matumizi ya internet kwa ajili ya maandamano yamefikia kiwango cha juu kabisa ambacho labda ni 0.01% ya matumizi yote ya internet. Hivyo hiyo 0.01% ni ndogo mnoo kwa matumizi yote ya jumla ya Internet.

Ruto akizima internet (kitu ambacho sio rahisi sana kwa sababu ya VPN na matumizi ya sateliti), ataamsha hasira za wakenya wengi zaidi kwenda kumtoa ikulu kwa nguvu.
 
Nilishangaa walipo sema KDF wana ina ingia mtaani as if nalo ni jeshi kwel [emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom