Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Kwa hiyo washabadilidha wimbo mm nilikuwa nawaaambia Mnyama akipata momentum hakuna timu ya kutufunga tutapiga kila anaekuja na hizo ndio dalili za kuwa bingwa ukicheza vibaya unatakiwa udroo siyo kufungwa just imagine Uto akiaanza kucheza vibaya maaana hawezi shinda mechi zote 32 hakuna kitu kama hichoSasa hivi wanasema ligi bado mbichi πππ
Hizi akili acha bosi wenu auze tu wachezaji anunue mabasi kwa kweliKwa hiyo washabadilidha wimbo mm nilikuwa nawaaambia Mnyama akipata momentum hakuna timu ya kutufunga tutapiga kila anaekuja na hizo ndio dalili za kuwa bingwa ukicheza vibaya unatakiwa udroo siyo kufungwa just imagine Uto akiaanza kucheza vibaya maaana hawezi shinda mechi zote 32 hakuna kitu kama hicho
Yaan nilikuwa nashangaa mnavyojidanganya eti mwaka huu wenu labda mtengeneze kombe lenu sasa hivi mjiandae kisaikolojia najua GSM hela za kuhonga timu pinzani msimu mzima hana leo hajatoa hela ya hamasa thats why hakuna penati wala kadi nyekundu wala kuumia kwa wachezaji wa mabingwaHizi akili acha bosi wenu auze tu wachezaji anunue mabasi kwa kweli
Wafanye kama wanajikuna kudadadeq tuwapekekee moto wa hatari.tupo matakoni mwa utopolo,uto kuwa makini usichume mboga
Uto wana roho mbayaaa sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2016448
mwana utopolo haamini macho yake[emoji23][emoji23]
Uhu ilitakiwa kupigwa makofiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa anakufa kwa preshaView attachment 2016457
Wachambusi upuuusiiiLabda sanamu la simba ndo bovu
Wachambusi uchwara!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina cha kukwambia ongea na mbumbumbu wenzio mjifurahisheYaan nilikuwa nashangaa mnavyojidanganya eti mwaka huu wenu labda mtengeneze kombe lenu sasa hivi mjiandae kisaikolojia najua GSM hela za kuhonga timu pinzani msimu mzima hana leo hajatoa hela ya hamasa thats why hakuna penati wala kadi nyekundu wala kuumia kwa wachezaji wa mabingwa
Mkuu uko isenda?Umemuona!!!..fala Sana yule,hatujaona papuchi mwaka tupo urambo tnapasua mbao,ye anajitikisa vile!!!?
Uto ni wajinga sanaaa, na mauridi kitenge mzee wa kibuyuu anajua kuwaburuzaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho kesi ya Morrson inafufuliwa
Huna cha kuongea kwakuwa unajua wazi pale juu sio mahala pako umemshikia mtu utake usitake yaan kwa makofi marungu mateke yaan tutakupumila matakoni mpka utasalimu amriSina cha kukwambia ongea na mbumbumbu wenzio mjifurahishe
Sasa miaka 4 bila kombe halafu mwaka huu Tena mnaleta ushindani halafu wana Manara we unadhani wakikosa ubingwa watajisikiajeUto wana roho mbayaaa sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa miaka 4 bila kombe halafu mwaka huu Tena mnaleta ushindani halafu wana Manara we unadhani wakikosa ubingwa watajisikiaje
Bado Morrison ana umuhimu Sana Kwa kuanzia. Ila anakata pumzi haraka.Toa Morisson weka Duncan
Sub ya Mzamiru.Halafu simba wamepoa sana kipindi cha pili,tatizo Ni nini hasa aisee
Usije,koboko wengi hukuMkuu uko isenda?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usije,koboko wengi huku
Sawa kumbuka na nyie mnapambana mkae mbele, hivyo siku ambayo mtakuwa mbele na Yanga nao watakuwa matakoni kwenu kama ilivyosasa kwa Simba. Jitahidi kupambana kukaliwa nyuma na nyieTupo matakoni kwenu kama alivyosema OKW BOBAN SUNZU ole wenu mchume mbona Sasa.
Yamekua tena hayo ahhahaahhhahSasa hivi wanasema ligi bado mbichi πππ