Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Sasa hivi wanasema ligi bado mbichi 😂😂😂
Kwa hiyo washabadilidha wimbo mm nilikuwa nawaaambia Mnyama akipata momentum hakuna timu ya kutufunga tutapiga kila anaekuja na hizo ndio dalili za kuwa bingwa ukicheza vibaya unatakiwa udroo siyo kufungwa just imagine Uto akiaanza kucheza vibaya maaana hawezi shinda mechi zote 32 hakuna kitu kama hicho
 
Hizi akili acha bosi wenu auze tu wachezaji anunue mabasi kwa kweli
 
Yaan nilikuwa nashangaa mnavyojidanganya eti mwaka huu wenu labda mtengeneze kombe lenu sasa hivi mjiandae kisaikolojia najua GSM hela za kuhonga timu pinzani msimu mzima hana leo hajatoa hela ya hamasa thats why hakuna penati wala kadi nyekundu wala kuumia kwa wachezaji wa mabingwa
 
Sina cha kukwambia ongea na mbumbumbu wenzio mjifurahishe
 
Back
Top Bottom