Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Kwa hiyo washabadilidha wimbo mm nilikuwa nawaaambia Mnyama akipata momentum hakuna timu ya kutufunga tutapiga kila anaekuja na hizo ndio dalili za kuwa bingwa ukicheza vibaya unatakiwa udroo siyo kufungwa just imagine Uto akiaanza kucheza vibaya maaana hawezi shinda mechi zote 32 hakuna kitu kama hichoSasa hivi wanasema ligi bado mbichi 😂😂😂