Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo ndio kakosa sasaNyoni sijawahi kumuona anakosa tuta tangu nimemfahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio kakosa sasaNyoni sijawahi kumuona anakosa tuta tangu nimemfahamu
Ndiyo maana ya kocha. Lazima ujue unaanza na nini.Yaani Kocha wa Simba Alichofanikiwa kikubwa. NI KUWASHUSHA PRESSURE WACHEZAJI WA SIMBA. OVER!
Hawezi mpira, bora akawe baunsa wa Dula makabilaHuyu Kibu huyu
Yeah hata free kick yupo vizuri sana, saizi kafungiwa na timu yakeKuna yule wa Azam Aggrey Moris nae ni mpigaji mzuri.
Upepo umekata hawa jamaa🤣Simba wamepoteana
Poa wote asili yao ni Congo 🇨🇩Kibu na Lukaku kuna ufanano fulani hivi hasa kwenye papara
Ni sahihi kabisa mkuu, amewatengeneza kwanza mentality yaoYaani Kocha wa Simba Alichofanikiwa kikubwa. NI KUWASHUSHA PRESSURE WACHEZAJI WA SIMBA. OVER!
Kibu ni sarpong mwenye rastaaliyemsajili Kibu ni mpumbavu wa muda wote
Bora Sarpong huyu ni YikpeKibu ni sarpong mwenye rasta
wamewaiga utopoloHalafu simba wamepoa sana kipindi cha pili,tatizo Ni nini hasa aisee