Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

Mnao mlaumu kibu sijawaelewa hata kidogo, heko kwa golikipa makaka well done amewaokoa sana ruvu leo
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, leo Kibu mkongo kaupiga mwingi Sana kachangia goli mbili moja akifunga japo kakosa kadhaa Ila alizikosa wasifieni wslinzi na kipa wa Ruvu walikaa sawa. Hongereni Makolo.
 
nilichokigundua kibu ni mugalu mwenye rasta
 
20211119_183818.jpg
 
Back
Top Bottom