M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Jan 14, 2025 #21 Mjubheli said: Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeee Click to expand... Mimi huwa siropoki kama Heche na Lissu.
Mjubheli said: Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeee Click to expand... Mimi huwa siropoki kama Heche na Lissu.
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 Jan 14, 2025 #22 Mtoto wa Shule said: Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda? Click to expand... Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie
Mtoto wa Shule said: Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda? Click to expand... Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 Jan 14, 2025 #23 Hongereni Sana Ruvuma, lissu akishinda angalau pesa zitashuka mpaka mashinani na mtapata muda wa kukijenga chama.
Hongereni Sana Ruvuma, lissu akishinda angalau pesa zitashuka mpaka mashinani na mtapata muda wa kukijenga chama.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Jan 14, 2025 #24 LIMBOMAMBOMA said: Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie Click to expand... Kwa sasa hivi chochote kile kinachoongelewa ni sahihi, lakini baada ya tarehe 21 Januari kitaelweka.
LIMBOMAMBOMA said: Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie Click to expand... Kwa sasa hivi chochote kile kinachoongelewa ni sahihi, lakini baada ya tarehe 21 Januari kitaelweka.
S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 1,724 Reaction score 2,584 Jan 14, 2025 #25 Satan said: Lissu asihadaike na mambo ya mtandaoni, imifikaga uchaguzi wajumbe hawapigagi kura. Asijesema ameibiwa Click to expand... Kwa taarifa yako, zaidi ya 98% ya wapiga kura uchaguzi wa cdm wapo humu mtandaoni. Wana cdm siyo wajinga.
Satan said: Lissu asihadaike na mambo ya mtandaoni, imifikaga uchaguzi wajumbe hawapigagi kura. Asijesema ameibiwa Click to expand... Kwa taarifa yako, zaidi ya 98% ya wapiga kura uchaguzi wa cdm wapo humu mtandaoni. Wana cdm siyo wajinga.