Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie
 
Hongereni Sana Ruvuma, lissu akishinda angalau pesa zitashuka mpaka mashinani na mtapata muda wa kukijenga chama.
 
Lissu asihadaike na mambo ya mtandaoni, imifikaga uchaguzi wajumbe hawapigagi kura. Asijesema ameibiwa
Kwa taarifa yako, zaidi ya 98% ya wapiga kura uchaguzi wa cdm wapo humu mtandaoni. Wana cdm siyo wajinga.
 
Back
Top Bottom