Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mimi huwa siropoki kama Heche na Lissu.Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa siropoki kama Heche na Lissu.Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeee
Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lieMikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
Kwa sasa hivi chochote kile kinachoongelewa ni sahihi, lakini baada ya tarehe 21 Januari kitaelweka.Sio stronghold au weak, kikubwa ni kura mkuu.Numbers don't lie
Kwa taarifa yako, zaidi ya 98% ya wapiga kura uchaguzi wa cdm wapo humu mtandaoni. Wana cdm siyo wajinga.Lissu asihadaike na mambo ya mtandaoni, imifikaga uchaguzi wajumbe hawapigagi kura. Asijesema ameibiwa