Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 Jan 15, 2024 #1 Your browser is not able to display this video.
O Oldmantz JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 704 Reaction score 1,457 Jan 15, 2024 #2 Roving Journalist said: View attachment 2872730 View attachment 2872726 View attachment 2872727 View attachment 2872728 View attachment 2872737 View attachment 2872738 Click to expand... Ukisikia tu kuwa walikua wanajibishana na polisi ujue kwisha habari yao!Hongereni polisi kwa kazi nzuri!dawa ya majambazi ni chuma tuu!!
Roving Journalist said: View attachment 2872730 View attachment 2872726 View attachment 2872727 View attachment 2872728 View attachment 2872737 View attachment 2872738 Click to expand... Ukisikia tu kuwa walikua wanajibishana na polisi ujue kwisha habari yao!Hongereni polisi kwa kazi nzuri!dawa ya majambazi ni chuma tuu!!
M mtechnical JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 238 Reaction score 570 Jan 15, 2024 #3 Siku hizi siamini hizi taarifa za polisi. Nawasi wasi wanafanya biashara ya mauaji. They kill for money then wanampa muathilika ujambazi
Siku hizi siamini hizi taarifa za polisi. Nawasi wasi wanafanya biashara ya mauaji. They kill for money then wanampa muathilika ujambazi
Kangosha Member Joined Sep 18, 2023 Posts 52 Reaction score 135 Jan 15, 2024 #4 mtechnical said: Siku hizi siamini hizi taarifa za polisi. Nawasi wasi wanafanya biashara ya mauaji. They kill for money then wanampa muathilika ujambazi Click to expand... Kwa hiyo zamani ulikuwa unaamini taarifa zao?. Elekea wewe hujakumbana na sekeseke za majambazi ndio maana unawaponda Polisi. I wish siku moja ukutane na mkono wa wezi au ndugu yako ndio utajua wanachokifanya polisi kina umuhimu gani.
mtechnical said: Siku hizi siamini hizi taarifa za polisi. Nawasi wasi wanafanya biashara ya mauaji. They kill for money then wanampa muathilika ujambazi Click to expand... Kwa hiyo zamani ulikuwa unaamini taarifa zao?. Elekea wewe hujakumbana na sekeseke za majambazi ndio maana unawaponda Polisi. I wish siku moja ukutane na mkono wa wezi au ndugu yako ndio utajua wanachokifanya polisi kina umuhimu gani.