Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia tu kuwa walikua wanajibishana na polisi ujue kwisha habari yao!Hongereni polisi kwa kazi nzuri!dawa ya majambazi ni chuma tuu!!
Kwa hiyo zamani ulikuwa unaamini taarifa zao?. Elekea wewe hujakumbana na sekeseke za majambazi ndio maana unawaponda Polisi. I wish siku moja ukutane na mkono wa wezi au ndugu yako ndio utajua wanachokifanya polisi kina umuhimu gani.Siku hizi siamini hizi taarifa za polisi.
Nawasi wasi wanafanya biashara ya mauaji.
They kill for money then wanampa muathilika ujambazi