Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Basi wewe una akili nyingi kuliko CAG aloyetoa hati safi. Huko kwenu ruzuku ina kazi moja tu eti?
 
Mmepunguza utegemezi wa mikopo wakati taarifa zinaonyesha kuwa deni la taifa limepaa kwa kasi ya ajabu? Je deni hilo linatokana na kitu gani kama si mikopo?
 
Yale yaliyonunuliwa 2015 yameeda wapi? shangilieni eti ruzuku imenunua, ruzuku ipi wakati yote inaishia mfukoni mwa mtu mmoja. haya magari yote yanaingia kwenye deni la mwenyekiti na yatalipwa kwa ruzuku ijayo.
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Bora ya kutoka kwa mabeberu maana sisi wananchi wa kawaida hela za kutoka kwa mabeberu wala hazituumizi, kinachotuumiza ni upotezu wa 1.5 trl. na matumizi mabaya ya madaraka. Unakumbuka kile kitendo cha wafungwa kutumika kupandisha bendera zenu kule Dodoma July? Tukumbushane wale askari siku ile walihesabika kuwa wako kazini? mwisho wa mwezi walipokea mshahara uliyojumisha na hiyo siku?
 
Machache sana labda wangelikuwa wanaongelea 100
 
Upewe ushahidi wewe ukiwa kama nani? Punguani Wa Chattle.com
Yale magari kama hayo ya 2015 yameenda wapi?

Nyie mabumunda ndio maana Mbowe anajipigia tu mihela anajua mpo kwa ajili mtamtetea tu
 
Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Acha kujitoa ufahamu we kenge....ccm kwa sasa inaongozwa kwa rimoti kutoka chato maamuzi yote ni ya mtu mmoja...
 
Yale magari kama hayo ya 2015 yameenda wapi?

Nyie mabumunda ndio maana Mbowe anajipigia tu mihela anajua mpo kwa ajili mtamtetea tu
We we ndo kibama ..magari ya 2015 yameenda mikoani kwenye ofc zetu za kanda ...na bado inakuja na helkopta
 
Acha kujitoa ufahamu we kenge....ccm kwa sasa inaongozwa kwa rimoti kutoka chato maamuzi yote ni ya mtu mmoja...
kwani chadema inaongozwa na watu wangapi kama sio huyo mume wenu mbowe.
 
Acha kutulisha matango pori kwa picha za 2015. Kama ruzuku ilikuwa ni kwa ajili ya kununua magari ya kampeni 2020 si wangetoa majibu hayo, kwa nini walikuwa wakiulizwa wanapatwa kigugumizi?
 
Kipind Cha uchaguzi huwa wananunua sana magari ila uchaguzi ukiisha haijulikan yanaenda wap huwa yanaonekana machache sana mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…