Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Hayo ni yale ya zamani na yamechoka sasa hivi, mtakuwa mnatembea na mafundi na turbox ilijaa spana.Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Wajumbe hawakumwacha salama...Mpenzi wangu nilikumiss
Magari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost yaMlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Kama gazeti la Tanzania Daima kila siku lina fungiwa hio radio na TV itakuajeMagari ni mazuri sana, moja ya nguvu muhimu sana ya ushindi wa uchaguzi wowote ni logistical support on mobility na penetration, ila pia Chadema should invested in mass media for mass mobilization and reaching out strategies za kuwafikia Watanzania walio wengi ambao hayo magari wataishia kuyaangalia tuu!. Cost ya
hiyo gari moja, inatosha kununualia transmitter za FM 10.
Cost ya gari moja inatosha kuanzisha FTA TV.
Chadema inashindana na chama chenye gazeti, TV, Redio na online Forum.
P
Mwaka huu mataga watajamba cheche!Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Kwa Sasa unachotakiwa kufanya Ni kuvaa tu Dela Bila nguo ya Kwanza tu maana mida ya mume kurudi imekaribia.haya ya majirani zako achana nayo huwezi kuyajua kuliko wenyewe.Harakisha kurudi kwako , huku Kuna vijana barobaro watakufanya sio😂😂😂😂😂✌️✌️Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Nenda TAKUKURU watakusaidiaTuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Hadithi zenu hizo peleka kwa watoto wa chekechea. Mliisha kaukiwa mvuto.Wameua brand name ya chama na kutumia kauli mbiu, tena kwa vifupi, tena kwa Viingereza.
Wanavijiji nchini kote wanavyojua wao jina lao limebadilika, wakaulizwa kwenye fomu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Jina la chama kinachokudhamini? Wakajaza MOVEMENT FOR CHANGE
Chama Cha Mapinduzi wakapita bila kupingwa nchi nzima!
Upinzani wetu masikini ya Mungu una njia ndefu sana mbele.
Umeshajitoa uanachama tayari?Hongereni mno 'Watani' zangu wakubwa CHADEMA ni hatua nzuri, ila ombi langu tu Kwenu ninaomba 'Madereva' wasiwe wanatokea tu Kilimanjaro.
Wahi TAKUKURU, usisahau kujiliza kwanza mbele ya waandishi wa VIgazeti na TV zenuNimebahatika kusoma kadi za gari moja katika ya hizo mmiliki ni mbowe na sio chama
Hivi kwanini.inakuwa hiviChadema mitandaoni hawajawahi kushindwa abadani
Njoo mtaan sasa
Wapiga kura wa kweli hawajawahi kuw na smartphone mkuuHivi kwanini.inakuwa hivi
Mlichobakiza ni kuokoteza vya kuongeaHongereni lakini mnayo ofisi ya chama dodoma????, maana mnahitaji kukutana na wanachama mara baada ya Lissu kuchukua form.CCM walikutana ofisini kwao. Miaka 20 hata ofisi hamna dodoma duuuu