usijitoe faham beberu linalozungumziwa hapa unalijua, chadema ni wapinzani uchwara kila kitu wanapinga bt hata siku moja hatujasikia wakipinga kupokea ruzuku hapo ndo mnapaswa mjiongeze nyie mbulula mnaopa supportRuzuku ya CCM inatumika kuihujumu kuidhoofisha chadema na cha ajabu CCM wanawaita wanaume wenzao mabeberu utazani wao ni mbuzi jike
Kwani shida ipo wapi??? Mbona CCM wanafadhiliwa na wakomunisti wachina na wavietnam???mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?sasa wewe unaejua basi tuambie haya magari yamenunuliwa baada ya upigaji wa chenji za ndege, sgr na stiglaz maana upigaji wa huko ndio mnaoujua!
we unajua ruzuku wanapokea kiasi gani kila mwezi na matumizi ya chama ni kiasi gan kila mwez ndo ujue ruzuku imetumika kununua au lah, tatizo lenu mnakazaga shingo mkiwa nje ya keybord alafu hamna lolote mnalolijua mbuzi ninyi.Una ushahidi wa huo ufadhili au unaongea siasa?
Pili kazi ya ruzuku kwenye vyama ni nini? Kwamba hawaruhusiwi kabisa kununua magari au?
Grow up man
laiti ungeijua chadema vizuri sidhani kama ungewahi tamani kua mfuasi wake, hakuna chama jinga hapa tz kama hilo chama.We mtu wa ajabu San
Mkuu kuna sababu za msingi tu sio kwamba inashindikana. Kama unaweza kuona kwa jicho la tatu tazama issue ya Lipumba alivyoibaka Cuf kupitia ofisi ya chama tu. Ndio maana utaona hii huwa ni ajenda ya ccm zaidi kwani wanajua namna ya kuitumia kuwanufaisha.CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Siyo kweli ni usaniiHatupendi anasa tuko kutumikia wananchi.
Siyo kweli ofisi ni mtu muhimu sanaHawakushindwa kujenga ila haikuwa priority
No siyo kweli ni lazima ofisiMkuu kuna sababu za msingi tu sio kwamba inashindikana. Kama unaweza kuona kwa jicho la tatu tazama issue ya Lipumba alivyoibaka Cuf kupitia ofisi ya chama tu. Ndio maana utaona hii huwa ni ajenda ya ccm zaidi kwani wanajua namna ya kuitumia kuwanufaisha.
Ofisi kwa dunia ya leo ni zaidi ya majengo mkuu hasa katika hatua hii waliyopo Cdm.
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
CHADEMA wako makini sana.
Mabeberu yapi hao? Au ndiyo wale tunao watembezea bakuli?Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Mbona za CCM husemi Ni za mabeberu kwani Tanzania tuna kiwanda. Wivu Hadi ...........
Mkuu hayo yapo kwenye long term plan, sio kipaumbele kwa sasa.CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ