Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

CHADEMA wana akili sana, siasa zinahitaji uwekezaji kwenye CAPEX kama hizi na sio kuwa na mjengo usiokuwa na maana.

Ndo mana benk wana mabilioni lakini wanapanga. Issue ni matumizi sahihi ya pesa
 
Ruzuku ya CCM inatumika kuihujumu kuidhoofisha chadema na cha ajabu CCM wanawaita wanaume wenzao mabeberu utazani wao ni mbuzi jike
usijitoe faham beberu linalozungumziwa hapa unalijua, chadema ni wapinzani uchwara kila kitu wanapinga bt hata siku moja hatujasikia wakipinga kupokea ruzuku hapo ndo mnapaswa mjiongeze nyie mbulula mnaopa support
 
Nimebahatika kusoma kadi za gari moja katika ya hizo mmiliki ni mbowe na sio chama
 
sasa wewe unaejua basi tuambie haya magari yamenunuliwa baada ya upigaji wa chenji za ndege, sgr na stiglaz maana upigaji wa huko ndio mnaoujua!
kwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo

1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
 
Una ushahidi wa huo ufadhili au unaongea siasa?
Pili kazi ya ruzuku kwenye vyama ni nini? Kwamba hawaruhusiwi kabisa kununua magari au?
Grow up man
we unajua ruzuku wanapokea kiasi gani kila mwezi na matumizi ya chama ni kiasi gan kila mwez ndo ujue ruzuku imetumika kununua au lah, tatizo lenu mnakazaga shingo mkiwa nje ya keybord alafu hamna lolote mnalolijua mbuzi ninyi.
 
CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Mkuu kuna sababu za msingi tu sio kwamba inashindikana. Kama unaweza kuona kwa jicho la tatu tazama issue ya Lipumba alivyoibaka Cuf kupitia ofisi ya chama tu. Ndio maana utaona hii huwa ni ajenda ya ccm zaidi kwani wanajua namna ya kuitumia kuwanufaisha.

Ofisi kwa dunia ya leo ni zaidi ya majengo mkuu hasa katika hatua hii waliyopo Cdm.
 
No siyo kweli ni lazima ofisi
 
Wachana na hao mazuzu ya lumumba
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni

MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
 
CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Mkuu hayo yapo kwenye long term plan, sio kipaumbele kwa sasa.
 
Back
Top Bottom