Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Majengo ya CCM ni mali ya vyama vyote inatakiwa CCM wawagawie vyama vingine
Uko sahihi, kwa wasiojua majengo, viwanja vya mpira, masoko na stendi nyingi zinazotajwa kuwa ni mali ya ccm zilipatikana/kujengwa kwa mgongo wa serikali enzi za chama kimoja na hivyo vilipaswa kuwa mali za umma na si za ccm kama ilivyo sasa.
 
Magari ya CDM ila CCM ndio wanayapangia matumizi hapa
 
CHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
SUBIRI! CHAMA KISHAJENGWA VYA KUTOSHA KINACHOFUATA BAADA YA UCHAGUZI NI MJENGO KAMA WA WORLD TRADE CENTRE
 
Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Ebu wewe tuwekee hizo kadi za hayo magari zenye majina ya Mbowe.
 
Picha ya zamani hiyo
Na hayo magari yalikodiwa toka Toyota Tanzania Limited
Kama kitu hujui, uliza
 
Billioni 8 = 6 double cabins oops 25 reconditioned registered in the name of DJ Mbowe aka mlevi wa konyagi.
Kwani pesa zote za ruzuku ya CCM hununua kitu kimoja? Kwani ruzuku ya CCM hutumika yote kuihujumu chadema kudhoofisha upinzani?
 
Picha ya zamani hiyo
Na hayo magari yalikodiwa toka Toyota Tanzania Limited
Kama kitu hujui, uliza
Wewe ndiyo uulize kwani huna unachokijua zaidi ya kukariri uongo wa cyprian Musiba
 
we unajua ruzuku wanapokea kiasi gani kila mwezi na matumizi ya chama ni kiasi gan kila mwez ndo ujue ruzuku imetumika kununua au lah, tatizo lenu mnakazaga shingo mkiwa nje ya keybord alafu hamna lolote mnalolijua mbuzi ninyi.
Kwanza usi ni attack mimi maana si mwanachadema. Ni mwananchi tu nisiye na chama chochote.
A.k.a concerned citizen.
Pili mbuzi attack my point. Nimekuuliza ushahidi uko wapi? Na ww badala kujib swali unaniuliza swali.
Kama una ushahid kuwa ruzuku zimetumika ndivyo sivyo. Weka hapa documents.
 
Una ushahidi wa huo ufadhili au unaongea siasa?
Pili kazi ya ruzuku kwenye vyama ni nini? Kwamba hawaruhusiwi kabisa kununua magari au?
Grow up man
Ni wa CCM, they never grow up ndo maana miaka 60 toka Uhuru hayabadiliki mpaka nyimbo, maneno na kauli mbiu zilizotumiwa na wapigania Uhuru wetu bado zinatumika hadi leo. Mabeberu, mabepari nk bado midomoni mwao mpaka Ufalme uje ndo maana mabadiliko ni muhimu ili twende mbele. Wakiwa na njaa mabeberu huwaita wafadhili au wadau wa maendeleo. Shit!
 
subiri repot ya takukuru ndo utaelewa kinachoendelea.
 
Najaribu kupiga hesabu za kufikirika hapa. Ebu fikiria Chadema wanapokea ruzuku milioni mia nne(TZS.400 million) kwa mwezi. Pia fikiria kuwa mpaka sasa wamepewa ruzuku kwa miezi yote ndani ya miaka minne. Hivyo, mpaka sasa watakuwa wamekusanya karibu bilioni kumi na tisa (TZS 19 bilioni). Pia inasemwa wabunge wake walikuw wanakatwa mishahara/ posho kila mwezi kwa ajili ya kuendesha chama na mambo mengine.

Sasa turudi kwenye ununuzi wa magari. Ebu fikiria kwa wastani kila gari limenunuliwa kwa shillingi 60 milioni( pamoja na kodi na ushuru). Hivyo, Chadema watakuwa wametumia shilingi 1.5 bilioni kwenye ununuzi wa magari.

Bilioni 19 kutoa bilioni 1.5 zinabaki 17.5 bilioni. Sema bilioni 7.5 zimetumika kwenye shughuli za uendeshaji chama. Je. bilioni 10 za ela za kitanzania ambayo ni sehemu ya ruzuku imetumika kufanya nini!? Nimetoa maelezo haya nikijua yupo CAG anaye kagua mahesabu. Mimi si mkaguzi bali najaribu kufikiria namna Chadema wanavyotumia ruzuku.
 
Hebu jadilianeni kwanza mkishakubaliana porojo moja ndio mje nayo hapa.
Picha ya zamani hiyo
Na hayo magari yalikodiwa toka Toyota Tanzania Limited
Kama kitu hujui, uliza
haya magari wamekopa kwa mtu beberu ili waje wamlipe rasilimali zetu.
Billioni 8 = 6 double cabins oops 25 reconditioned registered in the name of DJ Mbowe aka mlevi wa konyagi.
Nimebahatika kusoma kadi za gari moja katika ya hizo mmiliki ni mbowe na sio chama
Picha ya 2015 unaileta leo
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…