Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
We inakuuma nini?Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We inakuuma nini?Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Uko sahihi, kwa wasiojua majengo, viwanja vya mpira, masoko na stendi nyingi zinazotajwa kuwa ni mali ya ccm zilipatikana/kujengwa kwa mgongo wa serikali enzi za chama kimoja na hivyo vilipaswa kuwa mali za umma na si za ccm kama ilivyo sasa.Majengo ya CCM ni mali ya vyama vyote inatakiwa CCM wawagawie vyama vingine
hainiumi bt acheni kudanganya watu, chadema kuanzia viongozi hadi member wote makasuku kwa uongo hamjambo.We inakuuma nini?
SUBIRI! CHAMA KISHAJENGWA VYA KUTOSHA KINACHOFUATA BAADA YA UCHAGUZI NI MJENGO KAMA WA WORLD TRADE CENTRECHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamukwanza unazijua sifa za wafuasi wa chadema?
ili uwe mfuari wa chadema lazima uwe na sifa zifuatazo
1.lazima uwe huna kazi
2.umekata tamaa kimaisha
3.hujielewi
4.uwe na mtindio wa ubongo
5.uwe na mihemko ya kike
6.uwe tayari kuwalamba miguu mabeberu
7.uwe na vyeti feki
8....
9....
10...
Ebu wewe tuwekee hizo kadi za hayo magari zenye majina ya Mbowe.Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Picha ya zamani hiyoMlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Yaani tangu lissu arudi naona hapo lumumba hapakaliki eee....tutaelewana tuhainiumi bt acheni kudanganya watu, chadema kuanzia viongozi hadi member wote makasuku kwa uongo hamjambo.
Safi sana. Tuko vizuri.Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Kwa hiyo unasemaje?Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Kwani pesa zote za ruzuku ya CCM hununua kitu kimoja? Kwani ruzuku ya CCM hutumika yote kuihujumu chadema kudhoofisha upinzani?Billioni 8 = 6 double cabins oops 25 reconditioned registered in the name of DJ Mbowe aka mlevi wa konyagi.
Kila kitu wanajua ni uongo kama wafanyavyoTatizo mmezoea kusikia toka kwa wajinga wenzenu tu, hampendi kuhakikisha.
Wewe ndiyo uulize kwani huna unachokijua zaidi ya kukariri uongo wa cyprian MusibaPicha ya zamani hiyo
Na hayo magari yalikodiwa toka Toyota Tanzania Limited
Kama kitu hujui, uliza
Kwanza usi ni attack mimi maana si mwanachadema. Ni mwananchi tu nisiye na chama chochote.we unajua ruzuku wanapokea kiasi gani kila mwezi na matumizi ya chama ni kiasi gan kila mwez ndo ujue ruzuku imetumika kununua au lah, tatizo lenu mnakazaga shingo mkiwa nje ya keybord alafu hamna lolote mnalolijua mbuzi ninyi.
Ni wa CCM, they never grow up ndo maana miaka 60 toka Uhuru hayabadiliki mpaka nyimbo, maneno na kauli mbiu zilizotumiwa na wapigania Uhuru wetu bado zinatumika hadi leo. Mabeberu, mabepari nk bado midomoni mwao mpaka Ufalme uje ndo maana mabadiliko ni muhimu ili twende mbele. Wakiwa na njaa mabeberu huwaita wafadhili au wadau wa maendeleo. Shit!Una ushahidi wa huo ufadhili au unaongea siasa?
Pili kazi ya ruzuku kwenye vyama ni nini? Kwamba hawaruhusiwi kabisa kununua magari au?
Grow up man
subiri repot ya takukuru ndo utaelewa kinachoendelea.Kwanza usi ni attack mimi maana si mwanachadema. Ni mwananchi tu nisiye na chama chochote.
A.k.a concerned citizen.
Pili mbuzi attack my point. Nimekuuliza ushahidi uko wapi? Na ww badala kujib swali unaniuliza swali.
Kama una ushahid kuwa ruzuku zimetumika ndivyo sivyo. Weka hapa documents.
Najaribu kupiga hesabu za kufikirika hapa. Ebu fikiria Chadema wanapokea ruzuku milioni mia nne(TZS.400 million) kwa mwezi. Pia fikiria kuwa mpaka sasa wamepewa ruzuku kwa miezi yote ndani ya miaka minne. Hivyo, mpaka sasa watakuwa wamekusanya karibu bilioni kumi na tisa (TZS 19 bilioni). Pia inasemwa wabunge wake walikuw wanakatwa mishahara/ posho kila mwezi kwa ajili ya kuendesha chama na mambo mengine.Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Picha ya zamani hiyo
Na hayo magari yalikodiwa toka Toyota Tanzania Limited
Kama kitu hujui, uliza
haya magari wamekopa kwa mtu beberu ili waje wamlipe rasilimali zetu.
Billioni 8 = 6 double cabins oops 25 reconditioned registered in the name of DJ Mbowe aka mlevi wa konyagi.
Nimebahatika kusoma kadi za gari moja katika ya hizo mmiliki ni mbowe na sio chama
Picha ya 2015 unaileta leo
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguzi anachukua magari yake.
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.