ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Hivi Zitto amezungumza lolote kuhusu yote haya?
Zitto hakuwa na sababu ya kuzungumza ndio maana yuko kimya juu ya hili mpaka sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Zitto amezungumza lolote kuhusu yote haya?
Zitto hakuwa na sababu ya kuzungumza ndio maana yuko kimya juu ya hili mpaka sasa...
Je, iwapo Ludovick atakiri kuwa yeye ndiye aliyepiga ile picha na kusema kuwa original imeibiwa siku ile alivyotekwa na kuporwa kompyuta yake, itakuwaje?
Tena ningekuwa mshauri wa ZZK ningemshauri aushone kabisa mdomo wake!, thank God yuko kambini JKT hawaruhusiwi mawasiliano yoyote na public zaidi ya familia zao!.Hivi Zitto amezungumza lolote kuhusu yote haya?
mkuu samahani kuuliza sio ujinga, hivi ulikua unakimbizwa.?
Tena ningekuwa mshauri wa ZZK ningemshauri aushone kabisa mdomo wake!, thank God yuko kambini JKT hawaruhusiwi mawasiliano yoyote na public zaidi ya familia zao!.
Kiukweli, hata huko kutafutwa kwa huyo mwandishi, japo target ni huyo mwandishi, the motive behind to stop ZZK, wakiamini huyo ndie best wake anae master mind ZZK publicity inayomfanya ZZK akubalike sana!. Lazima uwe na sikio la tatiu kuyajua haya!. Mpaka sasa nasubiri "Chadema" wafanye the "right thing" tena this time, they got to do it right!, otherwise "wanalo!".
Pasco.
Kiukweli nashukuru ZZK yuko JKT, otherwise alivyo ni mtu wa papara, asingekaa kimya!. Ila kiukweli, Chadema lazima wamshukuru sana ZZK, aligundua siku nyingi ule mpango wa kumtilia sumu, uliokuwa ukisimamiwa na yule "Yuda Iskariot" wa Chadema, alijinyamazia tuu, sasa haya yameibuka, yeye anatakiwa kunyamaza kimya kabisa kwa sababu the end target ni yeye!.Zitto hakuwa na sababu ya kuzungumza ndio maana yuko kimya juu ya hili mpaka sasa...
Kusema ukweli, sijapata bahati kukutana na ZZK siku za hivi karibuni, ila baadhi ya hizi off the record za vyama ukizisikia!, nyingine zinatisha!.Pasco atakuwa anajua nini anasema off the records lol
I doubt!, ZZK is brighter than that!. He has a nose to smell danger!.Mbona nilisikia Zitto alikuwepo kwenye press conference ya kusema video ya Lwakatare ni feki?
Kiukweli nashukuru ZZK yuko JKT, otherwise alivyo ni mtu wa papara, asingekaa kimya!. Ila kiukweli, Chadema lazima wamshukuru sana ZZK, aligundua siku nyingi ule mpango wa kumtilia sumu, uliokuwa ukisimamiwa na yule "Yuda Iskariot" wa Chadema, alijinyamazia tuu, sasa haya yameibuka, yeye anatakiwa kunyamaza kimya kabisa kwa sababu the end target ni yeye!.
Pasco.
Mkuu TheOne, jf huwezi kula ban kwa kutoa mawazo yako, ila pia huu ni uwanja wa wale wana "dare speak their minds", huu sio ukumbi wa warembaji au wabembelezaji, ukiona vipi, nenda fb wakubembeleza useme, kule hakuna mode wala ban!.Ngoja nikaushe naweza kupata BAN ya maisha hapa JF kwa mawazo yangu nitayoshusha hapa.
Great minds hawataji taji majina ya watu, wao wanazizungumzia tuu sifa za watu. Hata Yuda Iskarioti naye pia alikuwa shujaa, kwani ni kupitia kwayo, ukombozi ulipatikana!.You mean Ben Saanane ..?
Great minds hawataji taji majina ya watu, wao wanazizungumzia tuu sifa za watu. Hata Yuda Iskarioti naye pia alikuwa shujaa, kwani ni kupitia kwayo, ukombozi ulipatikana!.
P.
Kwenye U Yuda Iskariot, hana defense yoyote japo aliimbiwa sifa nyingi za ushujaa na mimi nikiwemo miongoni mwa walioimba sifa zile, lakini tangu nilipojua kumbe alikubali kutumiwa kama dodoki, huki likihifadhiwa, mwishowe atatumika kama p.di!. Japo kiukwelim nakiri upstairs yuko fit!, he is among the best young brains Chadema has, if put to a good use na sio kukubali kuwa dodoki, baadea dekio na mwisho p.di!. Tatizo la hawa madogo ni kulewa sana misifa na kufanya mambo huku wakiyalipua ili waonekane!. Good inteligent minds always ni smooth operators, na wakiongea ujue ilibidi sana lazima waongee!.Nakuelwa i simply want him aje aseme lolote lol
thru defence unaweza pata kitu
Kiukweli nashukuru ZZK yuko JKT, otherwise alivyo ni mtu wa papara, asingekaa kimya!. Ila kiukweli, Chadema lazima wamshukuru sana ZZK, aligundua siku nyingi ule mpango wa kumtilia sumu, uliokuwa ukisimamiwa na yule "Yuda Iskariot" wa Chadema, alijinyamazia tuu, sasa haya yameibuka, yeye anatakiwa kunyamaza kimya kabisa kwa sababu the end target ni yeye!.
Pasco.
Mkuu The Boss,Mbona nilisikia Zitto alikuwepo kwenye press conference ya kusema video ya Lwakatare ni feki?
Mkuu Pasco vipi yule mzee wetu wa Monduli hajambao? Nasikia nae anapikiwa video yake na uangalie na wewe usije ukajikuta umeingia kwenye hilo genge la kuchomekewa video
Mkuu Mzalendo kiukweli video ile si ya kupika hivyo hakuna upishi mwingine wowote on the making labda kama ndio uanze sasa!.
Pili Mzee wetu ni salama na mambo yake yote yanakwenda vizuri!. Si unajua lakini kuwa yeye ni "Yohana Mbatizaji tuu!" akinyoosha mapito ya "yule" ajaye!.
Pasco.
Mkuu Mzalendo kiukweli video ile si ya kupika hivyo hakuna upishi mwingine wowote on the making labda kama ndio uanze sasa!.
Pili Mzee wetu ni salama na mambo yake yote yanakwenda vizuri!. Si unajua lakini kuwa yeye ni "Yohana Mbatizaji tuu!" akinyoosha mapito ya "yule" ajaye!.
Wengi hawajui the motive behind ule mpango!, japo mlengwa wa mpango mzima ni yule mwandishi ila the motive behind sio yule mwandishi bali ni kumdhoofisha "the one and only" threat kwa "uimla" wa Chadema!. Mimi siko behind any threat to any party or anybody hivyo I'm very safe at least for the time being mpaka wakati nitakapo simama kuhesabiwa which is very soon from now, nitakuwa a very bad threat kwa "wababaishaji" wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha!.
Nitasimamia kuhakikisha wanaokwenda Ikulu 2015 ni wale tuu wanaostahili!. Hivyo soon nitakuwa "mwiba" wenye "ncha kali!" na kwa lessons za Kubebea na Kibanda, I'll be well equiped with A.38, A.45, kwenye gari nitatembea na Sub na hand gre, na nyumbani naweka full kit kuanzia LPG hadi AK 47!.
Pasco.
Kwa hiyo hii iko 100% sync?Wanabodi,
i tunaofanya kazi za Audio Visual day&night, utatambua kwa naked ayes tuu kama picha imefanyiwa maujanja kwa kutazama flow na frames na utatambua kama imefanyiwa maujanja ya sauti kwa kusikiliza flow ya sauti na kuilinganisha na synchronization ya sound na lip movements!, hata waje wataalamu kutoka mbinguni, huwezi ku sinc 100% perfect!.
Pasco.
NB. Pasco wa jf sio mwanasheria bali alipitia pale UDSM Kitivo cha Sheria na kutoa tongotongo za sheria kwa kipindi cha miaka 4 full time!. Kwa sasa anaendeleza kazi ya Uandishi wa Habari wa Kujitegemea kwa Kujitolea!.
Kwa wale wenye interest zaidi kisheria, mnaweza kupitia hii link
ADMISSIBILITY OF ELECTRONIC EVIDENCE IN TANZANIA | Tanzania Legal News