Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Wataalam wa I.T na wengine wa uzoefu kazin, wanasema Feki na kuyataja mapungufu kadhaa ya video. Aliyesoma sheria miaka 4 ful T, anasema ni "bonafide genuine". bila kufafanua usahih wa mapungufu yaliyotajwa na wataalam. Kama sio ushabik ni nin? Baada ya muda analeta hoja sheria hazina makal na kwenye hiyohiyo anajishtukia na kusema najua watu watajadil "bonafide genuine" Sheria miaka 4, KAZI= Uandish wa habar kujitegemea, na wala si mwanasheria.
mkuu umenchekesha lakini hata mimi najawa na wasiwasi na huyu msomi wa sheria asiye mwanasheria lakini ni mwandishi wa habari duuu!!!! kwa hiyo Pasco na makanjanja wa Clouds fm/tv kuna tofauti? msaada hapo wanajamvi

Last edited by a moderator:
Mi nafikiri polisi wa mkamate huyu bukoba boy akatoe ushahidi mahakamani asaidie ukweli kupatikana haraka

Utakuwa "threat kwa wababaishaji wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha". Lini hiyo mkuu?
Naona unajaribu kujiuza kwa watu fulani, I'm afraid inawezekana hununuliki.
Ongeza juhudi mkuu huenda wakakuona.
Mkuu Mzalendo kiukweli video ile si ya kupika hivyo hakuna upishi mwingine wowote on the making labda kama ndio uanze sasa!.

Pili Mzee wetu ni salama na mambo yake yote yanakwenda vizuri!. Si unajua lakini kuwa yeye ni "Yohana Mbatizaji tuu!" akinyoosha mapito ya "yule" ajaye!.

Wengi hawajui the motive behind ule mpango!, japo mlengwa wa mpango mzima ni yule mwandishi ila the motive behind sio yule mwandishi bali ni kumdhoofisha "the one and only" threat kwa "uimla" wa Chadema!. Mimi siko behind any threat to any party or anybody hivyo I'm very safe at least for the time being mpaka wakati nitakapo simama kuhesabiwa which is very soon from now, nitakuwa a very bad threat kwa "wababaishaji" wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha!.
Nitasimamia kuhakikisha wanaokwenda Ikulu 2015 ni wale tuu wanaostahili!. Hivyo soon nitakuwa "mwiba" wenye "ncha kali!" na kwa lessons za Kubebea na Kibanda, I'll be well equiped with A.38, A.45, kwenye gari nitatembea na Sub na hand gre, na nyumbani naweka full kit kuanzia LPG hadi AK 47!.
Pasco.

Kwa hiyo hii iko 100% sync?
Yes ni 100% sync!, iangalie vizuri uingalie tena na tena!, hawa jamaa wana sync mpaka kupenga mafua!, tena masikini wa watu, kwa vile hakujua kuwa anarekodiwa, take a good notice, anafuta mafua kwa mikono tuu, then watch anafanya nini na ule mkono mara tuu baada ya kufuta mafua!. Kama ni mapishi, huyo mpishi ni chiboko!, namshauri aende zake tuu Hollywood!, hapa kwetu ni kujipotezea tuu muda!.
Pasco.

By Pasco

Wanabodi,

Japo ile clip ya Rwakatare kwenye Utube ni "bonafide genuine", nikimaanisha ni video ya ukweli na sio ya kupikwa au kufanyiwa maujanja yoyote, bali kwa mujibu wa sheria zetu za ushahidi, "law of Evidence", Lwakatare hawezi kushitakiwa kwa sababu ushahidi wa video ya utube hauwezi kutumika mahakamani kwa vile Tanzania bado hatuna e-legistlation on e-evidence.

Kwa mujibu wa sheria zetu, evidence must be original!. Hata wale vijana wa Ze Utamu wangekamatwa, wasingeweza kushitakiwa na hata ukimtukana mtu kwa kutumia e-mail au website, huwezi kushitakiwa!.

Kwenye E-laws kuna sheria mbili tulizipitisha ikiwemo Sosper, Anti Money Loundering na Sheria ya Anti Terorrist ambazo zote zina vipengele vya kukubali e-evidence lakini sina uhakika kama sheria zote hizi zilitengenezewa regulations za namna ya kutumika.

Mwaka 2006, nakumbuka wanasheria madada wawili, Dr. Hawa Senare na mdogo wake Mwanaidi Maajar, waliandika makala ndefu kuhusu madhara ambayo Tanzania itayapata kwa ukosefu wa E-law!.

Naendelea kulifanyia mapitio hili jambo na ikitokea nikajikuta mimi ndio nimepitwa na wakati, nitaiondoa hii thread!.

Najua nyingi ya hoja zitahusu "bonafide genuine", ile kwa sisi tunaofanya kazi za Audio Visual day&night, utatambua kwa naked ayes tuu kama picha imefanyiwa maujanja kwa kutazama flow na frames na utatambua kama imefanyiwa maujanja ya sauti kwa kusikiliza flow ya sauti na kuilinganisha na syncronization ya sound na lip movements!, hata waje wataalamu kutoka mbinguni, huwezi ku sinc 100% perfect!.

Nawatayarishia vipengele mahsusi vya kisheria ambavyo wangeweza kuvitumia na kwa kwanini hawawezi.

Angalizo: Hapa ninazungumzia ile clip ya utube tuu!, ikitokea original video ikapatikana!, hapa tutakuwa tunazungunza mengine!.

Pasco.

NB. Pasco wa jf sio mwanasheria bali alipitia pale UDSM Kitivo cha Sheria na kutoa tongotongo za sheria kwa kipindi cha miaka 4 full time!. Kwa sasa anaendeleza kazi ya Uandishi wa Habari wa Kujitegemea kwa Kujitolea!.

Kwa nn umeleta thread ambayo huna hakika nayo? Vema kama ungekamilisha uchunguzi wako ili upate hakika wa sheria ipoje kwa sasa,na siyo unaleta maelezo ambayo ata wewe hujui kama ni sahihi au hapana kwa sasa.

Habari ya kusema " NAENDA KULIFANYIA MPITIO"

ulipaswa kufanya hivyo kwanza.

***nina mashaka na wasomi wetu wa siku hizi kama huu ndiyo utaratibu wenu***

Mkuu muwie radhi Pasco ameshasema, alienda miaka 4 kusomea sheria akatoka KAPA,

Last edited by a moderator:
Utakuwa "threat kwa wababaishaji wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha". Lini hiyo mkuu?
Naona unajaribu kujiuza kwa watu fulani, I'm afraid inawezekana hununuliki.
Ongeza juhudi mkuu huenda wakakuona.
Mkuu Lwambo ni kweni sinunuliki, ajira yangu ya mwisho ilikuwa ni 2002, since then, I'm on my own!, siajiriki, kwa sababu silipiki, hakuna media in Tanzania wala nje ya Tanzania that can afford me kwa sababu sina bei kabisa, yaani "priceless!". Hivyo sio kweli kuwa ninajaribu kujiuza kwa yoyote, enzi za kutumwa zilishapita kitambo ten years back!, so at this age, siwezi kuanza kutumwa upya, nikifikiria tuu ile kuamka asubuhi, nakuwa sick!, ndio itakuwa kuajiriwa!.
Pasco.

mkuu lakini hata mimi najawa na wasiwasi na huyu msomi wa sheria asiye mwanasheria lakini ni mwandishi wa habari duuu!!!! kwa hiyo Pasco na makanjanja wa Clouds fm/tv kuna tofauti? msaada hapo wanajamvi
Mkuu Igudung'wa, kwanza nikurekebishe mimi sio msomi wa sheria, bali sheria nimeipitia tuu hapo UDSM kwa miaka minne ili kuondoa tongotongo tuu!, na kuendelea kuwa mwandishi by "choice" not by "chance!".
Mimi kuniita kanjanja ni jina stahiki na ni haki kwangu kwa sababu mwandishi kanjanja ni yule ambaye hana media yoyote anayoifanyia kazi, Lakini kuwaita watu wa Clouds makanjanja, sio kuwatendea haki!. Wao wana media rasmi hivyo sio makanjanja!.
Pasco.

Mkuu Ngambo Ngali, hii sio civil ya kumtafuta complainant hii ni criminal hivyo mshtaki angekuwa state!. The witness ni aliyekuwa anaelekezwa, wengi wanadhani muelekezwaji ndie lazima aliyepiga ile video!, its not necesarily inawezekana mpiga video ni mwingine nae pia ni shahidi namba 2. Aliyeipandisha youtube ni shahidi number 3!.

Ikithibitishwa Rwakatare was not acting alone, washirika wake pia watakamatwa na kuwa joined together wengine wakiwa ni accsesories before the fact na wengine after the facts wakithibitisha kuwa tayari jinai nyingine ya mipango hiyo dhalimu ilikwisha tekelezwa.

The offence ni " felony to plot to commit the criminal offence agains humanity!". Kwangu sina umeme nitakuwekea mpaka vifungu!.

Ila haya yote ni kama!.
Pasco.

The state is the prosecutor, the state cannot be the complainant. In criminal law the complainant is the person who sets the criminal case in motion. That's the person who will report to the police that an offence has been committed. I am worried that in this case there is no complainant. As for the offence we do not have the offence in the penal code. Check properly Pasco.

Mkuu Lwambo ni kweni sinunuliki, ajira yangu ya mwisho ilikuwa ni 2002, since then, I'm on my own!, siajiriki, kwa sababu silipiki, hakuna media in Tanzania wala nje ya Tanzania that can afford me kwa sababu sina bei kabisa, yaani "priceless!". Hivyo sio kweli kuwa ninajaribu kujiuza kwa yoyote, enzi za kutumwa zilishapita kitambo ten years back!, so at this age, siwezi kuanza kutumwa upya, nikifikiria tuu ile kuamka asubuhi, nakuwa sick!, ndio itakuwa kuajiriwa!.
Pasco.

Kimsingi mkuu Pasco pale kwenye "hununuliki" nilidhamiria kusema "huuziki".

Mtu mwenye tambo mimi huwa simfurahii, unapotamba kuwa utakuwa "mwiba" tena Ukadai kwa wanaotaka ikulu ili

kuijaribisha unaeleweka unachomaanisha. You dont want changes, why?. Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na

unadhamiria kutumia kalamu yako vibaya, unajaribu kutoa taarifa kwa wale jamaa kwamba unaweza kusaidia kuzuia

mabadiliko.

Ndio maana nikakushauri kuwa endelea kujiuza huenda wakakuona hatimae. KILA LA KHERI.

Hata kama ile evidence ikiwa admissible, kuna utetezi kwamba huwezi ku prove kwamba Lwakatare hakuwa na "illusions of grandeur" na "fabulous fantasies" na alikuwa anafanya actual conspiracy to commit crimes. Ndiyo maana nchi zilizoendelea wazee kama FBI wanakuachia mpaka unafanya kitu actual, umeenda kwenye building na rifle unataka kumshoot mtu, wanakukamata na evidence yote.CHADEMA wameweka the bar too low kwa kufanya authenticity of the video kuwa ndiyo defense yao. At least in their public statements.

Ingekuwa kusema tu "tumkamate fulani, tumuwekee vidonge kwenye bia etc etc" ni crime basi vijiwe vyote watu wangeshindwa kupiga story za kuonyesha chuki dhidi ya mtu fulani. The question is, where do you draw the line? Where does a fantasy become a reality? To me, this line is with action. Lwakatare kachukua action gani ku execute plan? Au alikuwa anafurahisha vijana wake tu na fantasies zilizojaa psychedelic hallucinations?

Also, one could cry entrapment.

The law is an ass, ukitaka kwenda kisheria utaachia kina Chenge wengi tu.

Luckily there is another court, the court of public opinion. Ambayo ordinarily inaweza kuwa considered ignoble (take mob justice and lynching) lakini kuna wakati ambapo the law is behind the court of public opinion.

Tatizo hapa inaonekana watu wengi wanaichukia CCM kuliko wanavyopenda ukweli.

Na wanaipenda CHADEMA kiasi kwamba "kipendacho roho hula nyama mbichi" na "chongo huita kengeza".

Wanajilia tu nyama mbichi ya CHADEMA, na chongo hili kuliita kengeza.

Mimi nawaambia si lazima kula nyama mbichi ili uipende CHADEMA. Unaweza kuibana CHADEMA ipike nyama.

Kimsingi mkuu Pasco pale kwenye "hununuliki" nilidhamiria kusema "huuziki".

Mtu mwenye tambo mimi huwa simfurahii, unapotamba kuwa utakuwa "mwiba" tena Ukadai kwa wanaotaka ikulu ili

kuijaribisha unaeleweka unachomaanisha. You dont want changes, why?. Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na

unadhamiria kutumia kalamu yako vibaya, unajaribu kutoa taarifa kwa wale jamaa kwamba unaweza kusaidia kuzuia

mabadiliko.

Ndio maana nikakushauri kuwa endelea kujiuza huenda wakakuona hatimae. KILA LA KHERI.
Yes kuna mtu hauziki kwa vile ama ni too low au bei yake ni too hivyo hivyo kuwa una affordable!.
Ikulu sio mahali pa majaribio!, sikuzote tumekuwa tukiwapangisha watu pale mahali kwa mazoea tuu, sasa tufike mahali yoyote anayetaka kwenda ikulu, tumuulize kwa kinaganaga, anataka kwenda ikulu kufanya nini?. Hivyo najiandaa kurudi on air soon ili kama kuna watu ambao ni wababaishaji wanataka kwenda ikulu, my role will be just to expose ubabaishaji wao na kuwaachia Watanzania waamue!. Kama kusema nitakuwa "mwiba mkali" umekutafsiri kuwa hizo ni tambo, then ni tambo nzuri tuu kwa kuanzia kwa sababu hata wakati nikiendesha "kiti moto", kuna watu walikuwa wakikaribishwa tuu, wanagwaya!, hii itasaidia sana kutikuwa na utitiri wa wagombea urais huku wengine wakiingia kujaribisha tuu na ku boost cv zao!. Tunataka 2015, ngoma iwe ama zao, ama zetu!, washindani wakuu wabaki wawili!. Hili la kutaka changes, please take time kupitia threads zangu za nyuma, utanielewa!. Choice ya mgombea wangu kwa CCM, alikuwa ni EL, ni kila nikimtaja, pia huwa naweka msisitizo, "ili tuupate ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!" na pia ili litimie lile neno la "rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini!".
Pasco.

Pasco Unaruka ruka sana.. wewe umesomemea sheria unakuja kutoa hitimisho kwenye mambo ya IT wapi na wapi? wakati wewe una digrii yako ya sheria wenzako wana degree za IT na wanafanya kazi katika field hiyo hiyo kwa miaka mingi..Sasa embu rudi kwenye ule uzi niliokwambia ukijibu maswali yangu kwa ufasaha,nami nitakuunga mkono hoja yako..nilikuuliza maswali mawili tu na mengine mengi yangefuata...

Last edited by a moderator:
Yes ni 100% sync!, iangalie vizuri uingalie tena na tena!, hawa jamaa wana sync mpaka kupenga mafua!, tena masikini wa watu, kwa vile hakujua kuwa anarekodiwa, take a good notice, anafuta mafua kwa mikono tuu, then watch anafanya nini na ule mkono mara tuu baada ya kufuta mafua!. Kama ni mapishi, huyo mpishi ni chiboko!, namshauri aende zake tuu Hollywood!, hapa kwetu ni kujipotezea tuu muda!.
Pasco.

the outgoing party can hire any corrupt guru at any cost to sync, do you know anything about physical face cloning?

mkuu umeandika pumba, pumba kabisa, yani pumba tupu... unajaribu kuwa critical lakini huna mchango wowote. kibaya zaidi ni hayo mashaka uliyo nayo, ati mashaka na wasomi, wewe ni nani?? mashaka ya nini?? umeshajicheki kwanza kama una quality yoyote??

Pasco has brought a good thread, kama huna la kuchangia kaa kimya!! JF haihitaji majaji au analyst ambao kazi yao ni mapitio ya mabandiko na kuonyesha mashaka

Mambaaaf wahed

Wewe pia umeishia kumsifia Pasco eti kaleta thread nzuri, ukasahau kuonyesha ni eneo gani kisheria ambalo ni Zuri ktk hiyo thread. Btw hivi unaelewa Sheria vzr au unakurupuka tu ili mradi tuone hiyo post yako.....

Mkuu Igudung'wa, kwanza nikurekebishe mimi sio msomi wa sheria, bali sheria nimeipitia tuu hapo UDSM kwa miaka minne ili kuondoa tongotongo tuu!, na kuendelea kuwa mwandishi by "choice" not by "chance!". Mimi kuniita kanjanja ni jina stahiki na ni haki kwangu kwa sababu mwandishi kanjanja ni yule ambaye hana media yoyote anayoifanyia kazi, Lakini kuwaita watu wa Clouds makanjanja, sio kuwatendea haki!. Wao wana media rasmi hivyo sio makanjanja!. Pasco.
Mkuu Pasco nijuavyo mimi kanjanja ni mtu ambae hajasomea uandishi wa habari lakini anafanya kazi ya uandishi au utangazaji ndio maana nikakutolea mfano Clouds

Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco nijuavyo mimi kanjanja ni mtu ambae hajasomea uandishi wa habari lakini anafanya kazi ya uandishi au utangazaji ndio maana nikakutolea mfano Clouds
Nadhani moja ya tafsiri nyingi za makanjanja. Nijuavyo mimi kanjanja ni mwandishi yoyote awe ni mwandishi kweli, awe alisomea au hakusomea, ila anahudhuria event, ili tuu kukunja ile "bahasha" na kufakamia misosi na vinywaji, lakini hana media yoyote anayoiandikia!. Ili kuhalalisha "bahasha" hujifanya ni mwandishi wa chombo fulani!. Waandishi/watangazaji wowote halali wa media yoyote, wawe walisomea au hawakusomea, kuwaita ni makanjanja, sio kuwatendea haki!.

Mimi unaweza kuniita kanjanja kihalali kwa sababu sina media yoyote maalum ambayo naipelekea habari, ila, pia mimi kamwe sipokei zile "bahasha" na badala yake mimi ndio huwa nazigawa ila za kwangu ni za "uwezeshaji!".
Pasco.

Kumbe nyie hamumfahamu PASCO huyu jamaa ndio wenye nchi na akisema ni kweli maana hawa ndio wale wakina usalama wa taifa,huyu jamaa namfahamu sema tu kama majina yanafanana nakumbuka Uncle wangu alikuwa anafanya kazi ubalozi wa tanzania Zimbabwe miaka hiyo baada ya kumaliza makataba wake akawa anafanya kazi usalama wa taifa so i know some of them

Nadhani moja ya tafsiri nyingi za makanjanja. Nijuavyo mimi kanjanja ni mwandishi yoyote awe ni mwandishi kweli, awe alisomea au hakusomea, ila anahudhuria event, ili tuu kukunja ile "bahasha" na kufakamia misosi na vinywaji, lakini hana media yoyote anayoiandikia!. Ili kuhalalisha "bahasha" hujifanya ni mwandishi wa chombo fulani!. Waandishi/watangazaji wowote halali wa media yoyote, wawe walisomea au hawakusomea, kuwaita ni makanjanja, sio kuwatendea haki!. Mimi unaweza kuniita kanjanja kihalali kwa sababu sina media yoyote maalum ambayo naipelekea habari, ila, pia mimi kamwe sipokei zile "bahasha" na badala yake mimi ndio huwa nazigawa ila za kwangu ni za "uwezeshaji!". Pasco.
hahahahahahaha mkuu wewe mjanja sana na nisipoangalia unaweza nipoteza wewe. hapo kwenye bahasha na misosi nimecheka sana... haya bana ngoja mimi nilale

Back
Top Bottom