Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Je, iwapo Ludovick atakiri kuwa yeye ndiye aliyepiga ile picha na kusema kuwa original imeibiwa siku ile alivyotekwa na kuporwa kompyuta yake, itakuwaje?

Hata kama akisema hivyo bado video ile ina walakini mwingi sana wa lini ilichukuliwa na kwa nini imetolewa saizi??

Kuna sehemu moja mwanzoni wakati jamaa wanasalimiana jamaa anamwambia Rich pole na matatizo, za sikukuu kisha anaua soo za saa hizi vipi??

Umeona mkuu hapo?
 
Hivi Zitto amezungumza lolote kuhusu yote haya?
Tena ningekuwa mshauri wa ZZK ningemshauri aushone kabisa mdomo wake!, thank God yuko kambini JKT hawaruhusiwi mawasiliano yoyote na public zaidi ya familia zao!.

Kiukweli, hata huko kutafutwa kwa huyo mwandishi, japo target ni huyo mwandishi, the motive behind to stop ZZK, wakiamini huyo ndie best wake anae master mind ZZK publicity inayomfanya ZZK akubalike sana!. Lazima uwe na sikio la tatiu kuyajua haya!. Mpaka sasa nasubiri "Chadema" wafanye the "right thing" tena this time, they got to do it right!, otherwise "wanalo!".

Pasco.
 

Mbona nilisikia Zitto alikuwepo kwenye press conference ya kusema video ya Lwakatare ni feki?
 
Zitto hakuwa na sababu ya kuzungumza ndio maana yuko kimya juu ya hili mpaka sasa...
Kiukweli nashukuru ZZK yuko JKT, otherwise alivyo ni mtu wa papara, asingekaa kimya!. Ila kiukweli, Chadema lazima wamshukuru sana ZZK, aligundua siku nyingi ule mpango wa kumtilia sumu, uliokuwa ukisimamiwa na yule "Yuda Iskariot" wa Chadema, alijinyamazia tuu, sasa haya yameibuka, yeye anatakiwa kunyamaza kimya kabisa kwa sababu the end target ni yeye!.
Pasco.
 

You mean Ben Saanane ..?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikaushe naweza kupata BAN ya maisha hapa JF kwa mawazo yangu nitayoshusha hapa.
Mkuu TheOne, jf huwezi kula ban kwa kutoa mawazo yako, ila pia huu ni uwanja wa wale wana "dare speak their minds", huu sio ukumbi wa warembaji au wabembelezaji, ukiona vipi, nenda fb wakubembeleza useme, kule hakuna mode wala ban!.
Pasco.
 
Great minds hawataji taji majina ya watu, wao wanazizungumzia tuu sifa za watu. Hata Yuda Iskarioti naye pia alikuwa shujaa, kwani ni kupitia kwayo, ukombozi ulipatikana!.
P.

Nakuelwa i simply want him aje aseme lolote lol
thru defence unaweza pata kitu
 
Nakuelwa i simply want him aje aseme lolote lol
thru defence unaweza pata kitu
Kwenye U Yuda Iskariot, hana defense yoyote japo aliimbiwa sifa nyingi za ushujaa na mimi nikiwemo miongoni mwa walioimba sifa zile, lakini tangu nilipojua kumbe alikubali kutumiwa kama dodoki, huki likihifadhiwa, mwishowe atatumika kama p.di!. Japo kiukwelim nakiri upstairs yuko fit!, he is among the best young brains Chadema has, if put to a good use na sio kukubali kuwa dodoki, baadea dekio na mwisho p.di!. Tatizo la hawa madogo ni kulewa sana misifa na kufanya mambo huku wakiyalipua ili waonekane!. Good inteligent minds always ni smooth operators, na wakiongea ujue ilibidi sana lazima waongee!.
Pasco.
 

Paso,
Hiki ulichoandika hapa kinaweza kuwa thread on its own!!!


cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Mbona nilisikia Zitto alikuwepo kwenye press conference ya kusema video ya Lwakatare ni feki?
Mkuu The Boss,

Ni ukweli kuwa walioleta taarifa za press conference walisema Zitto alikuwepo. Hata hivyo katika "official list" ya waliokuwepo na katika picha zote Zitto hajaonekana.

Walioleta zile taarifa na kutaja uwepo wa Zitto wanajua very well kwanini walifanya hivyo. I can assure you that it was not a random error...
 
Mkuu Pasco vipi yule mzee wetu wa Monduli hajambao? Nasikia nae anapikiwa video yake na uangalie na wewe usije ukajikuta umeingia kwenye hilo genge la kuchomekewa video


Kuna blogger mmoja maarufu humu JF ameandika kule Facebook kuwa anapika video yake, tunsubiri kumwona atakayemweka Youtube.
 

Nini kimemtokea Pasco yule wa kitimoto? kweli hata macho ya wenye hekima hupofushwa na ile kitu. Sorry for you dude, if things go on like this, you will die a very sad man..
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hii iko 100% sync?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…