Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

mkuu umenchekesha lakini hata mimi najawa na wasiwasi na huyu msomi wa sheria asiye mwanasheria lakini ni mwandishi wa habari duuu!!!! kwa hiyo Pasco na makanjanja wa Clouds fm/tv kuna tofauti? msaada hapo wanajamvi
 
Last edited by a moderator:
Mi nafikiri polisi wa mkamate huyu bukoba boy akatoe ushahidi mahakamani asaidie ukweli kupatikana haraka
 
Utakuwa "threat kwa wababaishaji wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha". Lini hiyo mkuu?
Naona unajaribu kujiuza kwa watu fulani, I'm afraid inawezekana hununuliki.
Ongeza juhudi mkuu huenda wakakuona.
 
Kwa hiyo hii iko 100% sync?
Yes ni 100% sync!, iangalie vizuri uingalie tena na tena!, hawa jamaa wana sync mpaka kupenga mafua!, tena masikini wa watu, kwa vile hakujua kuwa anarekodiwa, take a good notice, anafuta mafua kwa mikono tuu, then watch anafanya nini na ule mkono mara tuu baada ya kufuta mafua!. Kama ni mapishi, huyo mpishi ni chiboko!, namshauri aende zake tuu Hollywood!, hapa kwetu ni kujipotezea tuu muda!.
Pasco.
 

Mkuu muwie radhi Pasco ameshasema, alienda miaka 4 kusomea sheria akatoka KAPA,
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa "threat kwa wababaishaji wanaoitafuta ikulu ili kuijaribisha". Lini hiyo mkuu?
Naona unajaribu kujiuza kwa watu fulani, I'm afraid inawezekana hununuliki.
Ongeza juhudi mkuu huenda wakakuona.
Mkuu Lwambo ni kweni sinunuliki, ajira yangu ya mwisho ilikuwa ni 2002, since then, I'm on my own!, siajiriki, kwa sababu silipiki, hakuna media in Tanzania wala nje ya Tanzania that can afford me kwa sababu sina bei kabisa, yaani "priceless!". Hivyo sio kweli kuwa ninajaribu kujiuza kwa yoyote, enzi za kutumwa zilishapita kitambo ten years back!, so at this age, siwezi kuanza kutumwa upya, nikifikiria tuu ile kuamka asubuhi, nakuwa sick!, ndio itakuwa kuajiriwa!.
Pasco.
 
mkuu lakini hata mimi najawa na wasiwasi na huyu msomi wa sheria asiye mwanasheria lakini ni mwandishi wa habari duuu!!!! kwa hiyo Pasco na makanjanja wa Clouds fm/tv kuna tofauti? msaada hapo wanajamvi
Mkuu Igudung'wa, kwanza nikurekebishe mimi sio msomi wa sheria, bali sheria nimeipitia tuu hapo UDSM kwa miaka minne ili kuondoa tongotongo tuu!, na kuendelea kuwa mwandishi by "choice" not by "chance!".
Mimi kuniita kanjanja ni jina stahiki na ni haki kwangu kwa sababu mwandishi kanjanja ni yule ambaye hana media yoyote anayoifanyia kazi, Lakini kuwaita watu wa Clouds makanjanja, sio kuwatendea haki!. Wao wana media rasmi hivyo sio makanjanja!.
Pasco.
 

The state is the prosecutor, the state cannot be the complainant. In criminal law the complainant is the person who sets the criminal case in motion. That's the person who will report to the police that an offence has been committed. I am worried that in this case there is no complainant. As for the offence we do not have the offence in the penal code. Check properly Pasco.
 

Kimsingi mkuu Pasco pale kwenye "hununuliki" nilidhamiria kusema "huuziki".

Mtu mwenye tambo mimi huwa simfurahii, unapotamba kuwa utakuwa "mwiba" tena Ukadai kwa wanaotaka ikulu ili

kuijaribisha unaeleweka unachomaanisha. You dont want changes, why?. Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge na

unadhamiria kutumia kalamu yako vibaya, unajaribu kutoa taarifa kwa wale jamaa kwamba unaweza kusaidia kuzuia

mabadiliko.

Ndio maana nikakushauri kuwa endelea kujiuza huenda wakakuona hatimae. KILA LA KHERI.
 
Hata kama ile evidence ikiwa admissible, kuna utetezi kwamba huwezi ku prove kwamba Lwakatare hakuwa na "illusions of grandeur" na "fabulous fantasies" na alikuwa anafanya actual conspiracy to commit crimes. Ndiyo maana nchi zilizoendelea wazee kama FBI wanakuachia mpaka unafanya kitu actual, umeenda kwenye building na rifle unataka kumshoot mtu, wanakukamata na evidence yote.CHADEMA wameweka the bar too low kwa kufanya authenticity of the video kuwa ndiyo defense yao. At least in their public statements.

Ingekuwa kusema tu "tumkamate fulani, tumuwekee vidonge kwenye bia etc etc" ni crime basi vijiwe vyote watu wangeshindwa kupiga story za kuonyesha chuki dhidi ya mtu fulani. The question is, where do you draw the line? Where does a fantasy become a reality? To me, this line is with action. Lwakatare kachukua action gani ku execute plan? Au alikuwa anafurahisha vijana wake tu na fantasies zilizojaa psychedelic hallucinations?

Also, one could cry entrapment.

The law is an ass, ukitaka kwenda kisheria utaachia kina Chenge wengi tu.

Luckily there is another court, the court of public opinion. Ambayo ordinarily inaweza kuwa considered ignoble (take mob justice and lynching) lakini kuna wakati ambapo the law is behind the court of public opinion.

Tatizo hapa inaonekana watu wengi wanaichukia CCM kuliko wanavyopenda ukweli.

Na wanaipenda CHADEMA kiasi kwamba "kipendacho roho hula nyama mbichi" na "chongo huita kengeza".

Wanajilia tu nyama mbichi ya CHADEMA, na chongo hili kuliita kengeza.

Mimi nawaambia si lazima kula nyama mbichi ili uipende CHADEMA. Unaweza kuibana CHADEMA ipike nyama.
 
Yes kuna mtu hauziki kwa vile ama ni too low au bei yake ni too hivyo hivyo kuwa una affordable!.
Ikulu sio mahali pa majaribio!, sikuzote tumekuwa tukiwapangisha watu pale mahali kwa mazoea tuu, sasa tufike mahali yoyote anayetaka kwenda ikulu, tumuulize kwa kinaganaga, anataka kwenda ikulu kufanya nini?. Hivyo najiandaa kurudi on air soon ili kama kuna watu ambao ni wababaishaji wanataka kwenda ikulu, my role will be just to expose ubabaishaji wao na kuwaachia Watanzania waamue!. Kama kusema nitakuwa "mwiba mkali" umekutafsiri kuwa hizo ni tambo, then ni tambo nzuri tuu kwa kuanzia kwa sababu hata wakati nikiendesha "kiti moto", kuna watu walikuwa wakikaribishwa tuu, wanagwaya!, hii itasaidia sana kutikuwa na utitiri wa wagombea urais huku wengine wakiingia kujaribisha tuu na ku boost cv zao!. Tunataka 2015, ngoma iwe ama zao, ama zetu!, washindani wakuu wabaki wawili!. Hili la kutaka changes, please take time kupitia threads zangu za nyuma, utanielewa!. Choice ya mgombea wangu kwa CCM, alikuwa ni EL, ni kila nikimtaja, pia huwa naweka msisitizo, "ili tuupate ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!" na pia ili litimie lile neno la "rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini!".
Pasco.
 
Pasco Unaruka ruka sana.. wewe umesomemea sheria unakuja kutoa hitimisho kwenye mambo ya IT wapi na wapi? wakati wewe una digrii yako ya sheria wenzako wana degree za IT na wanafanya kazi katika field hiyo hiyo kwa miaka mingi..Sasa embu rudi kwenye ule uzi niliokwambia ukijibu maswali yangu kwa ufasaha,nami nitakuunga mkono hoja yako..nilikuuliza maswali mawili tu na mengine mengi yangefuata...
 
Last edited by a moderator:

the outgoing party can hire any corrupt guru at any cost to sync, do you know anything about physical face cloning?
 

Wewe pia umeishia kumsifia Pasco eti kaleta thread nzuri, ukasahau kuonyesha ni eneo gani kisheria ambalo ni Zuri ktk hiyo thread. Btw hivi unaelewa Sheria vzr au unakurupuka tu ili mradi tuone hiyo post yako.....
 
Mkuu Pasco nijuavyo mimi kanjanja ni mtu ambae hajasomea uandishi wa habari lakini anafanya kazi ya uandishi au utangazaji ndio maana nikakutolea mfano Clouds
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco nijuavyo mimi kanjanja ni mtu ambae hajasomea uandishi wa habari lakini anafanya kazi ya uandishi au utangazaji ndio maana nikakutolea mfano Clouds
Nadhani moja ya tafsiri nyingi za makanjanja. Nijuavyo mimi kanjanja ni mwandishi yoyote awe ni mwandishi kweli, awe alisomea au hakusomea, ila anahudhuria event, ili tuu kukunja ile "bahasha" na kufakamia misosi na vinywaji, lakini hana media yoyote anayoiandikia!. Ili kuhalalisha "bahasha" hujifanya ni mwandishi wa chombo fulani!. Waandishi/watangazaji wowote halali wa media yoyote, wawe walisomea au hawakusomea, kuwaita ni makanjanja, sio kuwatendea haki!.

Mimi unaweza kuniita kanjanja kihalali kwa sababu sina media yoyote maalum ambayo naipelekea habari, ila, pia mimi kamwe sipokei zile "bahasha" na badala yake mimi ndio huwa nazigawa ila za kwangu ni za "uwezeshaji!".
Pasco.
 
Kumbe nyie hamumfahamu PASCO huyu jamaa ndio wenye nchi na akisema ni kweli maana hawa ndio wale wakina usalama wa taifa,huyu jamaa namfahamu sema tu kama majina yanafanana nakumbuka Uncle wangu alikuwa anafanya kazi ubalozi wa tanzania Zimbabwe miaka hiyo baada ya kumaliza makataba wake akawa anafanya kazi usalama wa taifa so i know some of them
 
hahahahahahaha mkuu wewe mjanja sana na nisipoangalia unaweza nipoteza wewe. hapo kwenye bahasha na misosi nimecheka sana... haya bana ngoja mimi nilale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…