huwezi ongoza nchi kama tz kama wewe si dikteta.nchi hii haiendi bila viboko sababu watu wengi tz akili zao zimeganda.wanawaza uchawa ili waishi.ogopa sana nchi yenye machawa na ambao hawataki kufanya kazi bali wanategemea uchawa ni hatari sana.kuiondosha hali hii lazima tupate kiongozi serious na dikteta.Dikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
Nimesema AINA YA KAGAME [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Dikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
Kila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.Kinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?
Kubali tu kwamba tuna kiongozi with plan of no real!
Tatizo siyo kuachwa nyuma. Je, wewe uliye mbele unakwenda kwa spidi gani? Una chombo gani cha usafiri? Hii hii CCM na vituko vya kupigiwa vigelegele?Rwanda bado ni nchi maskini sana iliyoachwa mbali na Tanzania kwa kila kitu
Lakini asiue wasio na hatiaNimesema AINA YA KAGAME [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
AINA YA KAGAME [emoji16][emoji16][emoji16]Lakini asiue wasio na hatia
Kumbe kwako udikteta una rangi? Nyinyi mchwa wa nchi hii mko bize kumpamba mama huku mnaiba siku zenu si nyingiLibya sio waafrika
Niliona ile stand ya Chato ilivyoachwa yatima, nikasema wanamkomoa nani?Hapana mkuu tupo busy kumkomoa Hayati
Na unaamini capital investments huwa zinatafutwa kwa safari za rais?Kila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.
Hata wewe ujapata nafasi ya kuiba tuKumbe kwako udikteta una rangi? Nyinyi mchwa wa nchi hii mko bize kumpamba mama huku mnaiba siku zenu si nyingi
Hujaelewa, Rwanda katumia $5M kuandaa mkutano wa FIFA.Kila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.
Hujui historia ya dunia hii. Wewe andaa mikutano ya chama tu!Dikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
Sasa si ungeniona nampamba huyo mama yenu kama wewe ufanyavyo? Kwa bahati nzuri nilifundishwa biashara tangu nikiwa mdogo siwezi kuishi kichawa kama weweHata wewe ujapata nafasi ya kuiba tu
Ni kama una matatizo ya uelewa! Unawezaje kuilaani Rwanda na hatimaye usema TZ tunachezea fursa? Tunaposema rais kawa Sindbad baharia nini maana yake? Tunaposema aachane na safari mfu kama hizi anazofanya, awe makini na mwenendo wa nchi nini maana yake. Tunasema tuna rais mwenye uwezo mdogo! FINITO!I wish wstanzania wengi mngetembelea Rwanda japo kwa siku moja, aka ni ka nchi masikini, raia wake wanatabika sema tu wanatawaliwa kimabavu, kukuta familia yenye uwezo wa kula milo mitatu ni bahati sana, wengi hawana ajira maduka hana bidha, toka nje ya ya kigali tu utakuja kugundua ndo utaona sisi Tzania tunachezea fursa hawana aridhi ya kilimo, familia zima ya watu sita kijijini ina tegemea ngombe moja tu wa kisasa........umasikini wao hauna mfano hapa Tz.
Uelewa anao ujasiri ndo uko kwenye originTuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.