Rwanda inafanya makubwa

Rwanda inafanya makubwa

Dikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
huwezi ongoza nchi kama tz kama wewe si dikteta.nchi hii haiendi bila viboko sababu watu wengi tz akili zao zimeganda.wanawaza uchawa ili waishi.ogopa sana nchi yenye machawa na ambao hawataki kufanya kazi bali wanategemea uchawa ni hatari sana.kuiondosha hali hii lazima tupate kiongozi serious na dikteta.
 
Kinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?

Kubali tu kwamba tuna kiongozi with plan of no real!
Kila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.
 
Na unaamini capital investments huwa zinatafutwa kwa safari za rais?
 
Kila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.
Hujaelewa, Rwanda katumia $5M kuandaa mkutano wa FIFA.
 
I wish watanzania wengi mngetembelea Nchi ya Rwanda japo kwa siku moja, .......aka ni ka nchi masikini, raia wake wana tabika sana sema tu wana tawaliwa kimabavu, kukuta familia yenye uwezo wa kula milo mitatu ni bahati sana, wengi hawana ajira maduka hayana bidhaa, toka nje ya ya Kigali tu utakuja kugundua ndo utaona sisi Tzania tuna chezea fursa, hawana aridhi ya kilimo, familia zima ya watu sita kijijini ina tegemea ngombe moja tu wa kisasa........umasikini wao hauna mfano hapa Tz.
 
I wish wstanzania wengi mngetembelea Rwanda japo kwa siku moja, aka ni ka nchi masikini, raia wake wanatabika sema tu wanatawaliwa kimabavu, kukuta familia yenye uwezo wa kula milo mitatu ni bahati sana, wengi hawana ajira maduka hana bidha, toka nje ya ya kigali tu utakuja kugundua ndo utaona sisi Tzania tunachezea fursa hawana aridhi ya kilimo, familia zima ya watu sita kijijini ina tegemea ngombe moja tu wa kisasa........umasikini wao hauna mfano hapa Tz.
Ni kama una matatizo ya uelewa! Unawezaje kuilaani Rwanda na hatimaye usema TZ tunachezea fursa? Tunaposema rais kawa Sindbad baharia nini maana yake? Tunaposema aachane na safari mfu kama hizi anazofanya, awe makini na mwenendo wa nchi nini maana yake. Tunasema tuna rais mwenye uwezo mdogo! FINITO!
 
Back
Top Bottom