Rwanda inafanya makubwa

GDP ya rwanda ni $18b nominal na 32 ni ppp,acha kuchanganya mambo,nineona pahala umeandika GDP ya rwanda ni 32 wakati tz ni 67,ya tz PPP ni 180+m mzee,hiyo 67 ni nominal ambayo ni Mara tatu na zaidi ya rwanda
 
[emoji23][emoji2][emoji23]akili zako sasa!
 
Rwanda bado ni nchi maskini sana iliyoachwa mbali na Tanzania kwa kila kitu
Amerika waliamini hivyo kwa China. Leo hii wameishia kulia lia tu! Wanaikaba kama wacheza mpira; kugomea biashara, vikao na waafrika kusema ubaya wa china, nk. Muhimu kwa Rwanda angalia economic growth yao leo, angalia na projection zao. Linganisha na usanii wetu.

Nasikia sasa tunataka kuuza umeme sauzi!! Yaani marehemu anaahidi kusaidia aliyemzima damu!
 
Kwani Kuna kitabu Cha muongozo toka mbinguni Cha kutafuta capital investments!?..au mpaka waanze wengine ndiyo sisi tufuate!?..jakaya alifanya ziara kuutangaza fursa za kuwekeza nchini,alifanikiwa kiasi gani!?..Samia kafanikiwa kiasi gani kwa Hilo!?
Mbinguni ni wapi? Kule alikofika Zumaridi? Bado unaona ndo kwenye mambo yote?
 
Watu humu ndai mnafurahisha sana.
Wengine wanaipa Rwanda mfanano na China.
How dare you!?
Rwanda Ana investment zipi za maana kuifikia Tanzania na kuja kuipita Tanzania!?
Na mnatakiwa mfahamu kuwa Tanzania ishapiga hatua sehem nyingi ambao Rwanda ndio inapita sasa.
Hiyo Tanzania mnaoifananisha na Rwanda ishapiga na inapiga hatua katika masuala nyeti kama idara za usafirishaji,idara ya afya,miundombinu na utalii pamoja na kilimo na ufugaji na viwanda.
Na hilo suala ambalo hao FIFA wamewekeza sio sehemu nyeti ya kuipigisha Rwanda kihatua za kiuchumi.
Senegal ni sehemu ambayo mataifa makubwa yamewekeza sana ktk soka Ila Senegal ni sehemu ya watu MASIKINI km Zimbabwe.
UNGESEMA WAWEKEZAJI WAMEKUJA KUWEKEZA KATIKA SUALA LA UMEM,MAJI,VIWANDA,AFYA AU MIUNDOMBINU MIKUBWA KM YA USAFIRISHAJI KWELI RWANDA INGEKUA IMEPIGA HATUA.
Hiyo Rwanda Ina poor social development na hat hiyo economic development uwekezaji hauwekwi sehemu nyeti kama tunavyofanya Tanzania.

Ethiopia uloileta hapa mleta mada ndio inaongoza kwa WAHAMIAJI HARAMU hapa East and Central Africa.
Chakula haba,maji haba,ajira haba pia Kuna political instability.
HIVI WATU HAMUONI AIBU KUIFANANISHA ETHIOPIA NA TANZANIA!?
MAENDELEO YA KIJAMII YANAKUJAJE PASI NA KUWA NA SERA BORA ZA KIUCHUMI NA SERIKALI TULIVU!?
Japo no kweli haipingwi kuwa CCM ina Sera ambazo zimepitwa na wakati.
Pia SAMIA SULUHU HASSAN NI JANGA LA TAIFA KWA YEYE KUWA RAIS WETU.
 
Nawe umeingia kwenye mtego wa ushabiki ninaosoma hapa. Au una ushabiki wa kiutawala ambao huwa unasababisha serikali kuwa na uzembe au kubweteka. Kinachojadiliwa hapa ni ubora wa maamuzi, siyo nani kaendelea au nani yuko nyuma. Na hiyo ndo itatuendeleza au kutukwamisha. Linganisha maamuzi ambayo Rwanda imekuwa ikifanya kitaifa na kimataifa. Angalia maamuzi ya rais wako (usidandie ya JPM) linganisha na Kagame!

Suala la Ethiopia pia unalipima kwa vigezo dhaifu. Ukiona njaa, na wakimbizi unadhani ni kwa sababu wako hoi serikalini? Hebu sema nani anaongoza kwa usafiri wa anga Afrika? Nani amerusha satellite angani afrika mashariki hii? Nani ana treni ya umeme ya kwanza eneo hili la afrika? Nani ana bwawa kubwa la umeme Afrika hii? Wakimbizi ni sawa na unavyoona wahamiaji haramu wa kihindi wamejaa viwandani Dar, kwani TZ imefanikiwa kuliko India? Mbona Nigeria ina raia zaidi ya milioni 12 nje ya nchi yao? Uwe mpole unapoandika bila takwimu.
 
Kabla hujacoment uwe inasoma uzi kwanza ndugu. $5m iliotajwa ni kiasi kilichotumiwa na Rwanda ili ku host mkutano wa FIFA.
 
Visingizio vya aina hii ndivyo husababisha tubaki nyuma miaka yote.
Nchi zenye kiu ya maendeleo hawanaga excuses.
Angalia mfano Ethiopia hawana resources zozote ila mradi wao mkubwa ni ndege za abiria tu na bado wanapita.
Sasa Ethiopia wangekuwa wanatafuta visingizio wangekuwa maskini wa mwisho duniani
 
Ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…