Rwanda inafanya makubwa

Rwanda inafanya makubwa

Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.
we unaangalia wenzio wanaangalia kesho akil km zko zimeiponz USA dhid ya China
 
Nchi kama mkoa wa tanga ndo ulinganisha nea Tanzania
Nilishalijibu hili, angalia post zangu za nyuma na utaelewa kwanini nasema wao wanaonekana wanakimbia mchakamchaka na sisi tumeshika kiuno mkuu😊
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.

View attachment 2554769

Unahua kitu inaitwa Spotwashig??
 
🤣🤣🤣🤣wewe unaakili basi.

Hivi unaweza jilinganisha ufanano wa uelewa wako na rais hata robo tu umfikii.
Acha dharau.
Usinilinganishe mimi na rais, nilinganishe na Samia. Kwani ukiwa rais ufahamu unaongezeka?
 
Visingizio vya aina hii ndivyo husababisha tubaki nyuma miaka yote.
Nchi zenye kiu ya maendeleo hawanaga excuses.
Angalia mfano Ethiopia hawana resources zozote ila mradi wao mkubwa ni ndege za abiria tu na bado wanapita.
Sasa Ethiopia wangekuwa wanatafuta visingizio wangekuwa maskini wa mwisho duniani
Hiyo Ethiopia unayosemea ww kama kweli wameendelea wasingekua Wana higher unemployment rate,wasingekua wana wimbi la vijana wanaokimbia nchi yao embu acheni uzwazwa.
Ethiopia huduma za KIJAMII mbovu kufuru ya rahmani he nchi iliyoendelea inakua na huduma mbovu za KIJAMII!?
 
Unaona ulivyo punguani? Sasa bila elimu hayo mengine yatajengwa kimiujiza? Ndio maana lowasa alisisitiza elimu maana alikua hii nchi Ina mbumbumbu wengi kama wewe
Elimu gani hii ambayo mtu anamaliza madarasa hadi chuo na anakosa cha kufanya? 🤣

Elimu ambayo mtu anamaliza la 7 hajui kusoma vizuri na kuandika. Lets be serious wazee. Tanzani bado inahitaji reforms za kiutawala na mambo mengine mengi. Tusijifiche kwenye Ua tukitegemea hatuonekani kwamba tuna matatizo.
 
Tanzania Usimamizi wa hovyo kila mahali. Nikiangalia ule Mradi wa Mwendokasi nabaki kusikitika tu sijui ni kitu gani Mtanzania anaweza kukifanya bila ubabaishaji.
Tuna viongozi wa kiwango duni. Sasa hivi wanajiandaa kununua mabehewa yao eti treni ziwe za binafsi. Sijui nchi gani iliyofanikiwa kubinafsisha usafiri wa reli! NI watu wako madarakani kufanikisha miradi ya familia zao badala ya Taifa.

KIla umuonaye anahangaika kwenye wizara ujue kuna jambo nyuma yake.
 
Dawa ni kuvurugana tu ili mapatano yawe ni mkataba mpya wa raia na watawala kupitia katiba inayowapa madaraka zaidi raia.
 
Si wanasemaga USA anaangalia mbele miaka 50?!🤣🤣
Sisi tuna viongozi bure! Makuzi yao ni hovyo! Najiuliza kama ulizaliwa na baba akiwa mwalimu, akafukuzwa kazi kwa aibu, akajiunga na jeshi akawa mwalimu wa siasa. Baadaye mkuu wa mkoa, baadaye katibu wa chama. Kila siku unakula na kusoma kwa misheni-misheni za hapa na pale, ukawa mtu mzima nawe ukasoma na vituko-vituko vya aina hiyo. Ukikosa baba anakinga kifua. Anakuombea kazi ofisi fulani, nk. Kweli unaweza ukawa kiongozi wa maana? Wapi!

Wengine wanadhani labda, unaweza kusoma kitabu cha Azimio la Arusha au Binadamu na Maendeleo, baadaye uwe kama Nyerere, ujue uongozi, NO!!! Hawa ni wahuni tu waliojaa udanganyifu ndo maana hata wafuasi ni watu hovyo-hovyo tu!
 
Nawe umeingia kwenye mtego wa ushabiki ninaosoma hapa. Au una ushabiki wa kiutawala ambao huwa unasababisha serikali kuwa na uzembe au kubweteka. Kinachojadiliwa hapa ni ubora wa maamuzi, siyo nani kaendelea au nani yuko nyuma. Na hiyo ndo itatuendeleza au kutukwamisha. Linganisha maamuzi ambayo Rwanda imekuwa ikifanya kitaifa na kimataifa. Angalia maamuzi ya rais wako (usidandie ya JPM) linganisha na Kagame!

Suala la Ethiopia pia unalipima kwa vigezo dhaifu. Ukiona njaa, na wakimbizi unadhani ni kwa sababu wako hoi serikalini? Hebu sema nani anaongoza kwa usafiri wa anga Afrika? Nani amerusha satellite angani afrika mashariki hii? Nani ana treni ya umeme ya kwanza eneo hili la afrika? Nani ana bwawa kubwa la umeme Afrika hii? Wakimbizi ni sawa na unavyoona wahamiaji haramu wa kihindi wamejaa viwandani Dar, kwani TZ imefanikiwa kuliko India? Mbona Nigeria ina raia zaidi ya milioni 12 nje ya nchi yao? Uwe mpole unapoandika bila takwimu.
UNADHIHIRISHA UNA UFINYU MWINGI SANA.
HIYO INDIA UNAYOSEMEA WEWE INA UHABA WA AJIRA NA PIA NI NCHI YA MATABAKA NDIO MAANA UNAONA INA WAHAMIAJI WENGI NJE.
Itazame China,Russia,Uk,France,Japan n k nchi hizo Zina uchumi imara ndio maana Zina ajira toshelezi kwa raia wake.
Kwasababu zimewekeza katika sehemu nyeti kama viwanda,miundombinu nyeti n.k.
Ni taifa gani lililokua na MAENDELEO ya KIJAMII na kiuchumi ikawa na WAHAMIAJI haramu?
Ni Nini lengo la kukuza uchumi kama sio kunufaisha raia wake wenyewe?
NCHI ISIYOWEZA HATA KUJILISHA YENYEWE JE HIYO KWELI IMEENDELEA?!
Serikali iliyo vizuri huwa Ina Pato ambalo linatosheleza katika kupangia nchi yake bajeti ya maendeleo ikiwemo ajira na chakula.
Hilo shirika la ndege la Ethiopia halichangii Pato toshelezi kwa taifa lake ndio maana Ethiopia hata bajeti take huomba KUCHANGIWA na WB na IMF ndio maana kulingana na kuminya bajeti serikali hutoa nafsi ndogo sana za ajira hivi unalijua hilo!?
Suala sio kuwa na reli ya umeme,je hiyo reli inaleta Pato la kutosha serikalini!?
Ethiopia Ina city light trains nyingi na cargo trains chache sana.
Huwezi kulinganisha hata DMU zetu za TRC mapato yanayotokana na shirika la TRC.
Na Kama SGR yetu ikikamilika itakua longest SGR in East and Central Africa pia itakua no shirika la reli linalofanya vizuri kimapato ktk ukanda huu.

Nachopinga mimi KUIFANANISHA Rwanda na Tanzania na Ethiopia.
ILA sijabisha Kama Samia Suluhu ana maamuzi yasiyo na tija na ana Sera mbovu.

Hiyo Rwanda unayoisifilia rais wake huyo huyo rais bado hajapata akili ya KUWEKEZA KATIKA NYANJA KUBWA za kiuchumi.
 
Ulisoma thrd inasema nini? INasema Tz na Rwanda au Kagame na Samia?
 
Rwanda kwenye swala la maendeleo wanakimbia mchaka mchaka while Tanzania tumesimama na kujishika kiuno kwa kukata tamaa

Mkuu vuta subra,

Kuna mbuzi itakuja ikuambie Rwanda ni kama Mkoa tu hivyo ni sawa wakiwa na kasi hiyo.

Nakumbuka kuna wakati niliishi Kigali baada ya kurejea nikawa nimekaa na vijana wenzangu nawapa habari za kule kwenye masuala ya mazingira, miundo mbinu na utii wa sheria.. akaibuka pimbi mmoja anasema “wale Rwanda ni sawa na Mkoa tu so wao ni rahisi kuendelea”

Nilimuuliza chukulia Mkoa mmoja wenye madini na rasilimali kama Shinyanga, je hali ya maendeleo ikoje? Hakuweza nipa jibu!

Moral of the story;
Tunaongea sana alafu miaka ya karibuni tumekua na tabia ya kufanya kila kitu kua cha kisiasa, kusifia na kuendekeza mambo ambayo hayatufikishi mbali tuki lose focus kwenye key developmental issues.

Tunahitaji kuwa na vipaumbele vya Taifa na mikakati SMART kuvifikia, hatuwezi kusubiri agenda za maendeleo za kudandia au ku download kutoka kwa nchi wafadhili kila wakati!

Agenda zetu kuu za maendeleo ni zipi?
 
Back
Top Bottom