Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

WashaHost

Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
27
Reaction score
36
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."

==================================

The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.

IMG_0029.jpeg

Hii vita East Africa against Rwanda tunaweza tusitoboe sababu Rwanda Ana watu nyuma yake(western countries), watamsaidia na wamempa vifaa.

Anayewaweza western nje ya Europe ni Russia,

Rais wa Congo aongee na Putin amuhaidi kipande cha ardhi chenye madini, yeye ahitaji ulinzi tu Congo.

Hapo Russia atakuwa analinda maslahi yake, so utaona hao M23 kama wataigusa Congo
 
Vita ni moral na Mbinu
 
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."

The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.
Nyie Tsi acha vichekesho.
 
Pale wauza ubuyu wanavyogeuka wataalamu wa mambo ya usalama ghafla baada ya kushabikia nchi mojawapo vitani.

Iron Dome ni mfumo wa Israel na hauuzwi, especially kuuzwa kwa nchi hoehae kama Rwanda. Rwanda haina anti missile system, wala DRC haijarusha missiles bali shells. Kwahiyo hakuna interception yoyote imefanywa na Rwanda.

Rwanda wanapenda propaganda na kujivimbisha. Ni kanchi kenye jeshi ambalo hata kuipiga Uganda haliwezi ila kelele nyingi.
 
Back
Top Bottom