Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
- Thread starter
- #41
Naitetea Tanzania nchi yangu.Mbona imekuuma chomoa vaa uende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitetea Tanzania nchi yangu.Mbona imekuuma chomoa vaa uende
PK anafurahi sana TZ kuwa na viongozi maboya
Bandari kavu ni kitu gani??? Si ni sawa na leo nikupe shamba au kiwanja afu uamue kufyeka kusawazisha na kuweka zege na kuanza kupanga makontena basi, kitu ambacho hapa Tanzania hizo bandari kavu zipo nyingi na huyu dp hajaja kujengaIpo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai.
Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka 2010 katikati. Ujenzi wa Reli yetu kwa kiwango cha SGR ni sehemu ya serikali ya JPM kujiweka tayari kwa ajili ya kupitisha mzigo unaotoka DRC na Rwanda na unaoelekea katika nchi hizo ukitokea katika bandari ya Dar.
Zipo tuhuma nyingi sana zinazopandikizwa na wanasiasa wenye kuvizia urais wa 2025 na 2030, wao wanachukulia giza ya ubaguzi dhidi ya wazanzibari kuwa ni nyepesi tu hawajiulizi juu ya madhara ya kudumu ya ubaguzi huo!.
Hawajiulizi juu ya chuki wanayoitengeneza dhidi ya watanzania wenzao kwa kigezo tu cha biashara hii ya DP World.
Iwapo wanasema kuwa Samia ameuza nchi kwa waarabu, vipi kuhusu Paul Kagame wa Rwanda aliyemaliza kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji wao, na yeye kauiza Rwanda kwa waarabu?.
Kagame aliyeipigania Rwanda huko msituni akipoteza maelfu ya wanajeshi vitani, anaweza kweli kuja kuiuza nchi yake kwa pesa ya mwarabu?.
Watanzania wenzangu tusikubali kushikiwa akili, na kuchezewa vichwani kama watoto wa miaka mitano. Hakuna mwenye nia wala lengo la kuiuza nchi. Na hao waarabu waache kununua nchi kama Somalia, Sudan na Eritrea zenye utajiri mwingi wa mafuta na madini eti aje kuinunua Tanzania!.
Tupunguze uoga huu ni muda wa kukubali kupokea changamoto mpya za utendaji kazi pale bandarini. Ni muda wa kuondokana na matumizi mengi ya kazi za karatasi zinazochanika na kupotea na kukubaliana na utendaji wa kidigitali wenye tija nyingi ndani ya muda mfupi wa kazi.
Ikiwa Samia anatuuza kwa waarabu ambao ni wajomba zake, vipi kuhusu Kagame na yeye anaiuza Rwanda kwa mwarabu huyo huyo?.
Ni huyu huyu Kagame aliyeisaini mkataba na Arsenal wa mapesa mengi na leo hii dunia nzima inakaribishwa Rwanda kwa maneno tu yanayokuwa mgongoni mwa jezi ya Lionel Messi na Neymar. Kila wanapovaa jezi ya PSG, dunia nzima inakaribishwa Rwanda kupitia matangazo ya umeme yanayokatiza kwenye kioo cha runinga kila mechi ya Arsenal inapochezwa pale Emirates.
Tunahitaji sana marais wenye maono na wanaosimamia kile wanachokiamini mfano wa Paul Kagame, ambaye hatakuwa na muda wa kusikiliza kelele za wajuaji na wajinga wenye kushikiwa akili zao na wanasiasa wenye malengo yao ya kibinafsi.
Anapewa sehemu tu ya bandari kuendesha, kama ilivyokuwa kwa TICTS. Hakuna anayeweza kuinunua nchi hii, hizo ni siasa za kunywea kahawa vijiweni.
Sio viongozi maboya, watanzania maboya mnaopayuka bila sababu za msingiPK anafurahi sana TZ kuwa na viongozi maboya
Hao DP wanataka kukodisha baadhi ya maeneo ya bandari kibiashara na wanakuja na teknolojia ya hali ya juu ya kufanya kazi.Bandari kavu ni kitu gani??? Si ni sawa na leo nikupe shamba au kiwanja afu uamue kufyeka kusawazisha na kuweka zege na kuanza kupanga makontena basi, kitu ambacho hapa Tanzania hizo bandari kavu zipo nyingi na huyu dp hajaja kujenga
Hapa issue ni bandari ambayo inahusika kuingiza vitu nchini
Sasa usifananishe bandari na vitu vingine ambavyo havieleweki
Bandari ya isaka isalimike mara ngapi? Isaka hakuna bandari kuna magofu ya bandari mlioshindwa kuyaendesha Nye waswahili acheni akili kubwa ije ichape kazi...Dp ana bandari kavu Kigali.
..Tanganyika tuna bandari kavu ya kuhudumia mizigo ya Rwanda Isaka.
..Je, Dp akianza kuendesha bandari zote za Tanganyika bandari kavu ya Isaka itasalimika?
Bandari ya isaka isalimike mara ngapi? Isaka hakuna bandari kuna magofu ya bandari mlioshindwa kuyaendesha Nye waswahili acheni akili kubwa ije ichape kazi.
Rwanda ana nini cha ajabu?Mpuuzi mmoja anadhani rwanda ni kama tanzania,watu aina ya mleta mada ndo wanaoutrudisha nyuma nchi kama nchi kimaendeleo.
Tuacheni unafiki nyie waswahili mnaowaza matumbo sgr asipopewa mwekezaji wa nje dakika mbili chali, mwendokasi tu mnajaza kama mbuzi na mifugo humohumo, je sgr mtaweza kuendesha Kwa ufanisi kweli?..ujenzi wa sgr ni pamoja na kufufua bandari kavu ya Isaka.
..DP yuko Kenya, Rwanda, Drc, kwa hiyo tuwe naye makini.
Sio kweliKagame anashirikiana na mwarabu kuiteka Tanganyika.
Wazenji huwa hawajiamini ni hadi wamuweke mtu mweupe mweupe mbele, wameedhirika na historia ya utumwa.PK anafurahi sana TZ kuwa na viongozi maboya
Hakuna hasara yoyote kununua ndege. Mkuu Jokakuu tufungue vichwa vyetu tusije kupitwa na huu uwekezaji wa bandari. Ni mpana na wa kisasa unaokwenda kuifungua Nchi yetu kwa ujumla.
Haya tunayoyaongea ni madogo sana kulinganisha na biashara pana ya SGR pamoja na bandari inayokwenda kufanyika baada ya kumalizika kwa reli...ununuzi wa midege ni mradi wa kipumbavu.
..kuna mtu amedai DP watawekeza usd 500 mil.
..sisi tumetumia kiwango zaidi ya hicho kununua midege toka kwa mabeberu, na midege hiyo inatutia hasara.
..manunuzi ya midege kipindi cha Magufuli na Mbarawa ilikuwa ni upumbavu.
Hii biashara ya DP World ni mnyororo mzima wa logistiki kutoka DRC kwenye mzigo mpaka huko ughaibuni.UNafahamu kuwa Tanzanite inachimbwa TZ tu?? Ila unafahamu nchi inayofahamika kwa kuuza Tanzanite??
Sio Wabara bali sema Watanganyika! Hivi ni kwanini watu tunaogopa kuitaja Tanganyika? Wapi tunafeli nduguzanguni?Inapendeza sana kuona wabara walivyoamka, big up.