Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

Wewe ni LGBTQ na umeinguziwa dude huko nyuma. Chomoa alafu utueleze hiyo Bandari ya Kagame kwanini aijenge mapema wakati Hana Bahari?
Mlikuja na mbinu chafu ya kuorodhesha kesi za DP World kimataifa, ina maana Kagame mpaka anafikia kuwa sehemu ya biashara hii inayokwenda kufanyika hakuwahi kuona ule uchafu wenu mnaousambaza mitandaoni?.

Funguka kifikra mkuu Justine, wewe ni zaidi ya haya matusi yasiyo na kichwa wala miguu. Jikite kwenye unyeti wa mada.
 
Wewe ni LGBTQ na umeinguziwa dude huko nyuma. Chomoa alafu utueleze hiyo Bandari ya Kagame kwanini aijenge mapema wakati Hana Bahari?
Umejipinda umeona umeuliza swali la maana, wkt umeuliza swali la kijinga kabisa! We Kwa akili finyu unazani Rwanda hata mkimuzuia kabisa kutumia bandari ya dar, je ataacha kuingiza na kutoa mizigo nchini mwake? Africa nzima kuna bandari moja tu?
 
..ununuzi wa midege ni mradi wa kipumbavu.

..kuna mtu amedai DP watawekeza usd 500 mil.

..sisi tumetumia kiwango zaidi ya hicho kununua midege toka kwa mabeberu, na midege hiyo inatutia hasara.

..manunuzi ya midege kipindi cha Magufuli na Mbarawa ilikuwa ni upumbavu.
Mpaka zinanunuliwa ndege za mizigo maana yake zile za abiria zinazungusha pesa, zinahudumia watu. Inawezekana wewe kama JokaKuu hufanyi biashara yoyote ya kuhamisha bidhaa kutoka kona moja ya dunia kwenda nyingine ni heri ukae na hao wanaofanya hiyo shughuli wakwambie hizo ndege zinaingia tija kiasi gani kwa mizunguko zinazofanya.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya anga TCAA kabla hizo ndege hazijafika na kuanza kupakia abiria alishazunguka katika mataifa kadhaa duniani kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kupeleka na kurudisha abiria, usidhani kuwa ni biashara ya kukurupuka iliyofanyika.

Hizo milioni 500 ni fedha ndogo sana kutoka kwa DP World kuanza nazo biashara zikiwa ndio mtaji. Cha muhimu wanacholeta ni teknolojia ya kisasa ya upakuaji na upakiaji wa mizigo, inayokwenda kuwapunguzia wateja wa bandari ule muda wa kupakua na kupakia mizigo.

Uwezo wa kazi mpana unaotumia muda mchache. Tija nyingi kwa gharama ndogo ya muda ni sifa ya bandari yoyote ya kisasa duniani. Hakuna yale mambo ya meli kusubiri nangani kwa zaidi ya siku tatu ikisubiri foleni ya kupewa huduma, na hiyo ni sababu ya kuwepo kwa rushwa na ucheleweshaji wa huduma. Hiyo ni sababu tosha kabisa ya bandari kukimbiwa na wateja.

Hawa wanaopiga siasa wakisema eti SSH anauza nchi, ni bendera hufuata upepo wa humu mitandaoni, ni mashabiki wa hoja za watu!.

Hiyo inayoitwa hasara ya ndege inapatikana kwa kuilinganisha na tatizo la mwanzo kabisa wakati madeni ya nyuma yalipoingizwa na kuwa sehemu ya mtaji wa sasa. Lile deni la nyuma linapunguza sehemu ya faida ya sasa lakini ni mchakato unaokwenda ukipungua na kuna siku itabakia faida safi baada ya deni lililorithiwa kuwa limekamilishwa kulipwa.
 
HUO MKATABA UNAWEZA KUWA UMEANDIKWA NA MNYARWANDA...lazima avutie kwake akimtumia dp world akijua sisi ni walevi..tunapenda kamnyweso..
 
Back
Top Bottom