Kweli nyani ni nyani tu huwa haoni kundule. Hebu niambie na nyinyi huu umaskini wenu umetokana na laana gani??--- sio laana ya ukabila wa kiuchumi??, kama umaskini ni laana basi nyie mmelaanika zaidi kwani njaa pia inawapiga kila mwaka, hebu angalia sababu za umaskini wenu plus njaa hapo chini👇🏻
View attachment 2297335
Nilikua nafikiri mauaji na ulaji wa albino umepungua, kumbe kuna visa visivyo vya kitambo, laana ya umaskini itawatesa sana mmpaka muache huu ukatili Tanzanians hard hit by trafficking in people with albinism - ISS Africa
Huyo muache tu majirani zetu wanaenda mbele ki-technology yeye anaongea blabla,mawazo Kama yake ndio yanapelekea wasomi wetu vyuoni watutengenezee masanamu ya kuchomelea.Nilikua nafikiri mauaji na ulaji wa albino umepungua, kumbe kuna visa visivyo vya kitambo, laana ya umaskini itawatesa sana mmpaka muache huu ukatili Tanzanians hard hit by trafficking in people with albinism - ISS Africa
Nimeitazama hii video hadi majonzi, nyie muache kuua na kutafuna nyama za hawa binadamu maskini
Umaskini utawatesa sana
Nimeitazama hii video hadi majonzi, nyie muache kuua na kutafuna nyama za hawa binadamu maskini
Umaskini utawatesa sana
Huyo muache tu majirani zetu wanaenda mbele ki-technology yeye anaongea blabla,mawazo Kama yake ndio yanapelekea wasomi wetu vyuoni watutengenezee masanamu ya kuchomelea.
Upumbavu, sasa unaponda teknolojia yote inayohusiana na satellites kisa majungu yako dhidi ya Rwanda? Huo sio ukichaa kweli? Rwanda wanafanya mambo yao kulingana na malengo yao, sio ya nchi jirani. Wao ni kansa kwenu nyie wanyonge, ambao huwa mnawakuza na kuwaogopa. Rwanda na Kagame wao hawana ubabe wowote mbele ya nchi ya Kenya. Ndio maana huwa tunatangulia sisi kisha wao wanafata.
Satellites ni priority moja kubwa sana kwa kila nchi kote duniani. Alafu zina manufaa makubwa kwenye sekta ya kilimo pia. Kwahivyo hoja yako hiyo ya kupunguza njaa ni null and void. Shirikisha ubongo jombaa, ili uibuke na hoja zenye mashiko.
Wewe ni mwehu, mtu yeyote asiyejua historia na hasa historia inayomuhusu au inayohusu jirani zake huyo hana maana kwani ni mkabila na mbinafsi, ni ujinga na unyama kuka kimya ilhali maisha ya watu yanapotea kisa mambo ya kisiasa na kiuchumi na tamaa za wanasiasa waroho, mashariki ya kongo kumekuwepo na mauaji ya muda mrefu yakiungwa mkono na Rwanda katika hali hiyo unataka tukae kimya jinsi nyinyi mnavyokaa kimya when 3.5 million of your people die of hunger annually??---remember humanity first other things second.
Jifunze kuandika kwanza, aya tu na nukta zinakutatiza. Vitu kama hivyo ni vya msingi sana kwa mtu aliye elimika. Alafu eti iwe wewe ndio mtaalamu wa masuala ya satellite? Naah, utanipotezeana tu muda hapa and I got better things to do.Unaongea pumba, Sababu kubwa ya njaa nchini Kenya ni ukame, hebu niambie hiyo satellite mliyorusha itakojoa mvua kutoka huko angani??!!--- ili kukabiliana na njaa huko Kenya mnatakiwa kwanza kila mwaka muwe mnatenga fungu la pesa kwa ajili ya kuagiza chakula na pesa mnayo isipokuwa kwenu nyinyi uhai na maisha ya watu hauna thamani kuliko satellites nk, na hayo ni matokeo ya ukabila wenu.
Jifunze kuandika kwanza, aya tu na nukta zinakutatiza. Vitu kama hivyo ni vya msingi sana kwa mtu aliye elimika. Alafu eti iwe wewe ndio mtaalamu wa masuala ya satellite? Naah, utanipotezeana tu muda hapa and I got better things to do.
Kushirikiana pia na watu wenye akili inahitaji akili piaKurusha satellite kwa msaada wa Israeli na Japani ndio akili?-- anasaidiwa na mabeberu ili aweze kuvamia jirani zake kwa urahisi ili kupora mali za asili kwa ajili ya hao mabeberu halafu wewe usiyefikiri vyakutosha unasema hiyo ndio AKILI??
Akili ni; Kuanza from the scratch kuunda Booster Rockets pamoja na satellite yenyewe kutumia technology kutoka kwa wataalamu wa ndani na uandaaji wa kuirusha juu kwenye orbit kwa ustawi wa nchi kama jinsi anavofanya mchina nk. na sio vinginevyo.
Rwanda ni kibaraka wa mabeberu katika kanda hii ya Africa mashariki, Rwanda is a malignant cancer in our EA region to-date.
Unajua umuhimu wa TechnologyUmuhimu wa kurusha sattelite hasa kwa nchi husika ambayo ni masikini na wananchi wake masikini ni upi?